Wanawake walikuwa zamani bwana wasikuizi wakufuata klabuni huku watoto wakilia njaa
hivi wanawake mmejikomboa au wanaume ndo wamewakomboa, mwanamke akiwezeshwa anaweza, ha! kumbe tumewawezesha mnaturuka?
Kwahyo hutaolewa mkuu?[/QU Mkuu kuolewa ni hatua nyingine baada ya hatua za kwanza kuonesha kufaulu.sasa kama hutaki niweke manywele na mimi nisipoweka hakuna nnachodhurika sitaweka .na hapo kama una matabia ya hovyo ambayo naona kwangu ni shida hayavumiliki hutaki kuyaacha heee!ya nini kukomalia ndoa isiyo na furaha off you go!
ha haaaa, you can say that again rafikiHata siku hizi bado kuna Wanawake wenye tabia za kizamani, tabia ambazo zinapendwa na wanaume wengi sana ila ni nadra sana kukutana nao.
CC: Fixed Point.
Wanawake zaman unamkuta anamiaka 28 lakin bado bikra anaitunza heshima ya mumewe mtarajiwa lakin sasa hivi unakutana na cave, mwanamke zaman ilikuwa mwiko kujibizana na mume wake mbele ya watoto hata akipigwa akiona watoto wamekuja anajifuta lakn sasa hvi duu!
Wanaume wa zaman halikuwepo suala la kumfumania mkewe alikuwa ni aibu kwa mwanaume ndio maana baba kama anarudi nyumban usk alikuwa anaanzia mbali kuimba ili kama kuna mwiz akimbia
Mabadiliko yetu ni madogo kuliko nyie
wanawake wa zamani walikuwa wanatunza bikra zao...sasa hivi wanampa yeyete mwenye kuhitaji...
ha haaaa, you can say that again rafiki
lol! got you rafikilol!!! Naweza kuirudia kauli hiyo hata mara millioni rafiki 🙂🙂.....Umbea hauna mshahara wala posho lakini Wambea ndivyo walivyo!!!! Wala wasikukoseshe usingizi rafiki QA weye fanya ya kwako. Uwe na weekend njema.
Enzi zile mwanamke amepigwa na mumewe analia, akisikia tu hodii hodiii haraka sana anajifuta machozi na kuanza kucheka, wa siku hizi mbona ataenda kulilia kwa jirani ili dunia nzima ijue kapigwa au huyooo mahakamani. Hebu sasa tutumie uzi huu kutaja matendo ya wamama wa zamani ya kishujaa kama hili nililolitaja ili hawa watoto wa siku hizi kina miss neddy, DEMBA, mama la mama, miss chagga na wengine wajifunze.
Wapo wengine ni wanawake hadi leo
kuweni tu makini na huko mbele, maana siku hizi mambo yote NYUMA, si unaona tunawasifia wanawaka wa miaka ileeee ya nyuma?
Mbona na wanaume walikuwa zamani cku hiz ikibeba mimba akahisi co yake bas vikao na DNA inahusika lkn zamani utasikia kitanda hakizai haramu hp nakumbuka bb yangu mdomo aliongezewa wtt wawili wa jirani yk na alijua lkn hakusema kitu mpk kifo kilipowatenganisha
wanawake zamani bhana, siku hizi wanavaa mawigi utadhani majani ya masale na wengine wanapaka rangi za goldstar machoni