benluv
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 441
- 343
bye bye😂😂😂👐
bye bye😂😂😂👐
✌bye bye
Hutapiki??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dompo chupa 2 unataka balaa..ila mm 1 namaliza...fresh tu ila ndo vibes za kubang km zote..
Hapana kujiendekeza na kuendekeza njaa tu. Sema mi najishaua nikitaka pombe pa kuzipata najua kupo ndo maana siwezi kuliwa kirahisi kwa kiu. Sema kuna muda kiu kikikushika jamani. Kuna siku nimetoka ndani saa tano nikakaa nje ya kwangu kuna dada anauza pombe nikatuliza nafsi kidogoya
yap..tht una 5000 alafu una kiu cha bia had koo linawaka[emoji23][emoji23]kuliwa kupo
Labda kama na yeye kakuelewapombe kamwe haimuachi aliyeitumia salama,lazima iombe msaada kwenye tuta tu...
Mimi mwenyewe nikimtaka mdada,lazima nijue kwanza anatumia kilevi? kama anatumia basi mimi nguvu yangu naimarisha kwenye kulipa bill ya bia na nyama tu...90% kazi inakuwa imeishakwisha😀😀😀
😂😂😂😂✌✌mie kushikwa kbs na kiu hapana mie sitak mwili uniendeshe kbs..hubby akiwa hana hela na an kiu unaweza sema kachanganyikiwa anaanza kutafta hela had kwnguo zangu 😂😂teana anajifungia kbs hqha aise3Hapana kujiendekeza na kuendekeza njaa tu. Sema mi najishaua nikitaka pombe pa kuzipata najua kupo ndo maana siwezi kuliwa kirahisi kwa kiu. Sema kuna muda kiu kikikushika jamani. Kuna siku nimetoka ndani saa tano nikakaa nje ya kwangu kuna dada anauza pombe nikatuliza nafsi kidogo
Hutapiki??
Pombe tamu inanichefua. Dompo huwa naweka na maji au ice.sijawaj tapika kbs kisa pombe..sijui nashangaaga watu wanaotapika..huwa mb
natapika kwaajili gan
na ndiyo inavyokuwa,halafu siku hizi unadhani kuna mambo mengi basi,maadamu kampani imeenda fresh basi kinaelewekaLabda kama na yeye kakuelewa
[emoji15]Wakuu: Nionyeshe mwanamke mnywa pombe ambaye hachepuki..... Ntakuonyesha kuku mwenye miguu Minne.
ndioDaah huu nao ni uzi😳
hahahahaKatika pitapita zangu za kuyapiga maji... Nikiwa na crew na jamaa zangu, sijawah kukutana na mwanamke (ama binti/mke wa mtu) Ambaye atakaa na sisi/na mimi asitoe namba ya simu baada ya kugigida pombe ama hata kuondoka nae kabisa..
Nasisitiza, kama hajachepuka alhamis, atachepuka jumamos
hahaha bas ww konky mie tamu ndo zanguPombe tamu inanichefua. Dompo huwa naweka na maji au ice.
Nasema, nani kakuficha? Mbona umepotea hivyo?Sijaelewa best ake[emoji15] [emoji15]
Hujatulia asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha bas ww konky mie tamu ndo zangu
..mie dompo naweka na koka...labda na ice kidg sana ..nikiona nalewa naanza maji
Hujatulia asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, siwezi. Labda [emoji485] ila sio [emoji481]....[emoji86][emoji86][emoji86][emoji87]Elli siku 1 nitakunyweshwa ww ujue[emoji86]... yaan utakunywa bla shuruti..intelijensia ya kike itahusika..utakunywa kwa mahaba kam yoteeee na stataka ulewe..[emoji4][emoji4]
mimi🍺✖🍷✔..ila kuna desperado ina ladha nzuri sana ila ww hutaiweza ..na smirnof blak ice unakunywa taste km.fanta tu..ila alcohol yake sio ya kawaidia aiseeHahahaha, siwezi. Labda [emoji485] ila sio [emoji481]....
Vodka, Smirnoff sawa tu!!mimi[emoji481][emoji808][emoji485][emoji818]..ila kuna desperado ina ladha nzuri sana ila ww hutaiweza ..na smirnof blak ice unakunywa taste km.fanta tu..ila alcohol yake sio ya kawaidia aisee
Hujanipata kizembe hivyo bado sanaaaaWatu wanagegedwa kirahisi tu, utaskia "Niko na shemeji hapa tunakunywa"[emoji16][emoji16], Mwanamke mlevi ni rahisi tu Kuingia urafiki na mwanaume palepale bar, tena Wanakubalian kirahisi tu "twende tukalale kwangu" Ndo mana mwanaume mlevi akitaka kupata wa kugegeda anaenda zake bar tu....
Pombe huleta UKARIMU