Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

pombe kamwe haimuachi aliyeitumia salama,lazima iombe msaada kwenye tuta tu...
Mimi mwenyewe nikimtaka mdada,lazima nijue kwanza anatumia kilevi? kama anatumia basi mimi nguvu yangu naimarisha kwenye kulipa bill ya bia na nyama tu...90% kazi inakuwa imeishakwisha😀😀😀
 
😂😂😂😂😂😂 yaan unipe vibia tu ukanilale kiwepesi hvyo?labda km.na mm nimevutwa na ww
 
sasa hadi kufikia mpango wa kunywa bia na mimi ,tayri akilini kuna jambo,labda kama wewe ni komba basi.😛😛😛😛😛,ila najua bia ikishakaa kichwani ,kila kitu kinajiachia tu automatic
 
😛😛😛😛🤑🤑🤑
 
ahahahahaaha...umekubaliana na mimi eeeh??? ila mimi bahati mbaya ni muonjaji wa bia mbili au tatu basi...sasa nikikaa na komba anakunywa bia kumi ,mimi nabaki nakutolea macho

😂😂😂😂😂... kuna siku hubby alinipa mtoko..kumbuka hana mazoea sana y kunipaga out..nilijikuta nakunywa kwa hasira sijui..sijui nn nn kilinipata..sikulewa akafu nikawa nakunywa kwa kukomoa😂😂😂 ikabid aulize mbn hulewi ww unajifunzia wapi kunywa pombe?moyon nikasema makosa ni yako n its too late... ss hv htk kbs kunitoa..nakunywa madesperado ht 8 huko..yy anakunywa za 1800😂😂.mm natwanga za 4000 alaa!
 
😀😀😀😀😀😀 wewe ni kichaa kweli,aise hata kama ni mimi mumeo lazima nikuache home uchunge watoto,yaani ninywe za buku mbili halafu wewe za elfu nne?? haiwezekani kwakweli.
mwanamke inabidi uwe unabajeti hata kama ni mr amekutoa out,au ndiyo unamkomoa kwa kuwa anakutoa mara moja out kwa mwaka😀😀😀😀😀
 
😂😂😂😂😂... kuna siku hubby alinipa mtoko..kumbuka hana mazoea sana y kunipaga out..nilijikuta nakunywa kwa hasira sijui..sijui nn nn kilinipata..sikulewa akafu nikawa nakunywa kwa kukomoa😂😂😂 ikabid aulize mbn hulewi ww unajifunzia wapi kunywa pombe?moyon nikasema makosa ni yako n its too late... ss hv htk kbs kunitoa..nakunywa madesperado ht 8 huko..yy anakunywa za 1800😂😂.mm natwanga za 4000 alaa!
bora ungekuwa unajinywea wine yako saafiii chupa moja tena uko zako home na siyo bar huko
 
kote kote..sipend kunywea nyumban wanangu watanishangaa sana😊😊wanajua baba ndo mnywaji😊😊mm sitak wajue..nakunywa zaid wine pua
hahahahaahaaa...uanjificha kumbe! we chizi kweli,ila siyo vyema pia mama na baba wote mjulikane kwa wanenu ni walevi,.sasa jitahidi usinywe halafu zikashuka chini,jitahidi zimshukie mumeo...maradhi mengi siku hizi
 
Mimi ht kwa mume hazishuki..kuna kazi hapo sasa!yeah sipend wajue watanipopoa wakienda kwa bibi yao
 
kumbe walevi...nilijua unamaanisha wanywaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji108][emoji108][emoji109][emoji109] mm pia sina mazoea ya kununuliwa naenda bar nikiwa gado na atakayetokeza kununua asiniharass kuhamia meza yake[emoji57]maana hawakawii kuanza kukuuliza unachat na nan[emoji16]
Unamwambia na TISS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
pombe kamwe haimuachi aliyeitumia salama,lazima iombe msaada kwenye tuta tu...
Mimi mwenyewe nikimtaka mdada,lazima nijue kwanza anatumia kilevi? kama anatumia basi mimi nguvu yangu naimarisha kwenye kulipa bill ya bia na nyama tu...90% kazi inakuwa imeishakwisha😀😀😀
Unawapata unao fanana nao.
 
Back
Top Bottom