Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
😂😂😂😂😂Watukome. Kwanza tukiacha pombe ndo mwanzo wa kuwanga. Bora tulewe kuliko tuwe wachawi
😂😂😂😂😂Watukome. Kwanza tukiacha pombe ndo mwanzo wa kuwanga. Bora tulewe kuliko tuwe wachawi
Asee mkuu umenifurahisha kinoma!.... Ulichokisema ndo protocol yangu ya maisha!Tunaishi maisha mafupi saaaana, usitake ubebe mizigo isiyobebeka! We live once! Kama starehe yako ni pombe, go for it, kama ni ngono Tena kwa mtu unayempenda, usijizuie talk! Kama starehe yako ni kutafuta pesa, Aaghh tafuta day and night, kama starehe yako ni kusafiri kama Mimi, fanya, Mimi naweza kuamka anytime nikaondoka, I enjoy being alone. Sehemu tulivu, mashambani! Last time I drove usiku Mzima alone Dar to Kyela.... Ndio starehe yangu!
Hahahahaa.. kwanza na ulevi wangu wote bado sina ujasiri wa kwenda bar mwenyewe. Nisipoenda na rafiki zangu basi naenda na bby. Nikiwa na wanawake wenzangu sawa nalipa ila na mwanaume hata rafiki yangu sijawahi pewa nafasi ya kujilipia. Wanalipaga wenyeweee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji108][emoji108][emoji109][emoji109] mm pia sina mazoea ya kununuliwa naenda bar nikiwa gado na atakayetokeza kununua asiniharass kuhamia meza yake[emoji57]maana hawakawii kuanza kukuuliza unachat na nan[emoji16]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] .....umewafungua hawakulijua hiliNimekuja
Nimeshangaa sana hiyo kauli. Anaokutana nao ndio wapo hivyo. Nakunywa hela yangu sijazoea offer za kijinga unanipata wapi kwa mfano. Wanaokunywa pombe za kunuliwa wanarudisha fadhila hizo kwa kujirahisisha.
Kuna wanawake unawakuta bar wanapata drinks zao hadi mwanaume anaogopa kuwasalimu acha kutongoza.
Haahaaa[emoji106] [emoji106]Ukiwa na tabia za kichawi lazima huisi kila mtu anawanga kama wewe.
Umemaliza[emoji119] [emoji119]mimi nnavyojua ni kuwa ukiona mwanamke ana jeuri ya kwenda bar mwenyewe na kununua bia,huyo ana jeuri pia ya kuamua mwanaume gani amlale/achepuke naye.
ila walau ukiona mwanamke anaenda bar na mtu wake au mumewe huyo walau kiasi cha kuchepuka ni kidogo. na mwisho wale wanawake ambao wao wanajua sana kupiga simu na kuomba ofa ya bia,hao ndiyo rahisi kuliko hata unga wa ngano.. za kuambiwa changanya na zako
Muulize tena huyoo...[emoji15] [emoji15]Urahisi unatokea wapi?
I second uuu...[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]we live once
Tumetofautiana asee!....yaan nikianza kunywa naenjoy ulevi na storee za cheers! ....eti nyege zinipande nimelewa hell no!Walevi asilimia kubwa wakishagida kilaji cha kutosha akili inahamia katikati ya mapaja si wanawake si wanaume.Sio wote lakini
Best ake...wala hayupo huko, she's just neutral. Ila I'm happy hana mambo za pombe.
Wamekariri. Wanaona kuliwa ni rahisi. Labda wale wanaotaka pombe wakaliwe (wanaonywea ushamba).Muulize tena huyoo...[emoji15] [emoji15]
Best, unapotezwa sana mwishoni mwaka mwaka, festive season hii best!!Best ake
Walevi wengi wanakuwa tayari na addiction.....wanajua jema na baya coz wamezoea kuwa matingasi, nayemuonea huruma ni yule ambae hagusi pombe, ni viumbe wapenda k or bamiaStress za maisha nazo zimezidi mno, ngoja tu watu wapige mipombe na kupigana mikito. Ila mlevi nahisi anavunja hiyo amri kiulaini sana...
Haaaahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mbavu zanguuWatu wanapigana miti kwenye gari baada ya Henken kupanda..... Na hawakuwahi kuonana before...
Nasemaje... Oa mke mlevi utembee unaongea mwenyewe
Usizoee hii kitu. Kuna siku watakuwowaTunaishi maisha mafupi saaaana, usitake ubebe mizigo isiyobebeka! We live once! Kama starehe yako ni pombe, go for it, kama ni ngono Tena kwa mtu unayempenda, usijizuie talk! Kama starehe yako ni kutafuta pesa, Aaghh tafuta day and night, kama starehe yako ni kusafiri kama Mimi, fanya, Mimi naweza kuamka anytime nikaondoka, I enjoy being alone. Sehemu tulivu, mashambani! Last time I drove usiku Mzima alone Dar to Kyela.... Ndio starehe yangu!
hahaaha nilitaka kuuliza swali kama lako umeniwahi kidogo.Chupa mbili za dompo au glass 2 za dompo
I second uuu...
Tumetofautiana asee!....yaan nikianza kunywa naenjoy ulevi na storee za cheers! ....eti nyege zinipande nimelewa hell no!
Yaan mtu akijaribu anapoteza mda tu
😂😂😂😂dompo chupa 2 unataka balaa..ila mm 1 namaliza...fresh tu ila ndo vibes za kubang km zote..hahaaha nilitaka kuuliza swali kama lako umeniwahi kidogo.
yap..tht una 5000 alafu una kiu cha bia had koo linawaka😂😂kuliwa kupoWamekariri. Wanaona kuliwa ni rahisi. Labda wale wanaotaka pombe wakaliwe (wanaonywea ushamba).