Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

hahahahahaaaa...we wa ajabu kweli basi. sasa zinashukia wapi??? we wakukuangalia vizuri...hujatulia best...😛😛😛😛😛
😂😂 sijui zinaendaga wap.. ila napataga moto tu mwilin..ila machine haichemshi wala nn😂😂😂..ila ss...!
 
Ndio nina sura Private lakini Sibebwi na chupa za bia.
Maana najua kulipa Bill pia.
safi sana sweetie,nakutania tu. kwanza napenda mwanamke ambaye mnaweza kushare bill za vinywaji na vyakula,hapo mnakunywa mnafurahi hadi raha,hakuna kuwa na mawazo sijui ya kwenda kulipa gharama za watu vile. we ni safi sana,ntakutafuta kwa muda wako😛😛😛😛
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] silipiii mwanaume Bill labda mashosti

😀😀😀😀😀 kwani mimi nimesema unilipie au lah? maadam unauwezo wako kipesa inatosha,hata najua huyu mtu niko naye siyo tegemezi acha uwoga wewe,lipa bill😛😛😛😛😛
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lipeni bill bwana
😀😀😀😀😀 kwani mimi nimesema unilipie au lah? maadam unauwezo wako kipesa inatosha,hata najua huyu mtu niko naye siyo tegemezi acha uwoga wewe,lipa bill😛😛😛😛😛
 
pombe kamwe haimuachi aliyeitumia salama,lazima iombe msaada kwenye tuta tu...
Mimi mwenyewe nikimtaka mdada,lazima nijue kwanza anatumia kilevi? kama anatumia basi mimi nguvu yangu naimarisha kwenye kulipa bill ya bia na nyama tu...90% kazi inakuwa imeishakwisha😀😀😀
Sio kweli mkuu...nakuhakikishia sio wote [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom