Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

hahah
Inaonekana unapenda mteremkoo mnoo...sema hapa unazuga tuu
ahaaaaaaaa,halafu wala sipo hivyo,unajua hata sisi wanaume mnatuogopaga tu nasisi wengine maharage ya mbeya,labda hicho tu ntakachokuogopa witty,nikilipiwa bill na wewe usije kunidai. jaribu siku moja uone ntakavyokukimbia😛😛😛😛
 
na ndiyo maana nimesema asilimia tisini wako hivyo,kumi hawako hivyo. kama wewe haupo kwenye mkumbo kheri yako witty
90% kubwa sanaaaa.....sema labda 60% tena wa vijijini huko
 
hahah

ahaaaaaaaa,halafu wala sipo hivyo,unajua hata sisi wanaume mnatuogopaga tu nasisi wengine maharage ya mbeya,labda hicho tu ntakachokuogopa witty,nikilipiwa bill na wewe usije kunidai. jaribu siku moja uone ntakavyokukimbia😛😛😛😛
Haaaahaaa.....mkuu mi nimeongea tuu but kama umekaa kimarioo shtuka!

Mademu hela yao huwa inawauma kinoma, kinatural tuu
 
Back
Top Bottom