falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,159
- 9,241
Mabeki tatu na wanafunzi wakibeba mimba wanakomaa nayo kimya kimya bila kusumbua mtu, hawa walio kwenye ndoa ndio wana hizo sera za mimba kutaka mafenesi saa nane usiku!
ndo zako eeenh
Mabeki tatu na wanafunzi wakibeba mimba wanakomaa nayo kimya kimya bila kusumbua mtu, hawa walio kwenye ndoa ndio wana hizo sera za mimba kutaka mafenesi saa nane usiku!
Si nafuu wewe mkuu,sitasahau mke wa dingi mdogo alikuwa na mimba yake ya kwanza mwaka 2000,basi mpaka dingi mdg kuna kipindi haendi job na alikuwa anamdekeza haswa...siku moja usiku wa saa 7 akatuamsha tena kwa hasira mimi na binamu yangu eti tukamtungulie mkewe mapera mabichi (japo mti haukuwa mbali) halafu tuje na matembele pia. Na kulikuwa na manyunyu usiku huo huyu binamu yangu alianguka kwny utelezi na kuumia hadi leo ana kovu,asubuhi yake alienda kwao (kwa Aunt yangu).
Ni hali ya kawaida,mi kipindi changu sikutaka kuongea na mwenzangu hd najifungua. Yaan nilikuwa nahisi km donge fulan limenikaba rohon hivyo nafuu yangu ilikuwa ni kutomsemesha. Alikuwa anataman sn kuongea na mm ila ndio hivyo na ht nilipokuwa namjibu basi badae ntahangaika sn kwa kutapika.
Thanks God now mtoto wetu ana mwaka na miezi 6 ila baba ndo hayupo tena......dah kwakweli Mungu ana makusudi yake,hamu yote ya mtoto aliyokuwa imepotea km ndoto. Apumzike kwa amani!
I can feel what they're going through. Wangu hakuwa na mapozi sana lakini mtoto alipofia huko ndani, then yeye akapata massive complications, acha kabisa...hawa watu tuwaheshimu tu, huwa wanapitia kipindi kigumu wakati wa ujauzito.
Nilishavaa sana mashati na t-shirt nyeupe ili aridhike siku nikivaa rangi nyingine panachimbika,sisahau nililala nje na baridi la Mbeya kisa ndani harufu ya sofa inamfanya atapike na mwendo ulikua kupaka baby care tu haaahaaa inakera ila ina raha yake maana ndani ilikua kama kuna wehu wawili,mbaya zaidi akapata miscarrige mwishoni sana bado naitamani ile hali ila Mungu hajabariki mpaka leo na muda mrefu umepita.
Hongera mkuu Mungu awaongoze wewe vumilia tu yataisha ila navitamani viatu kama vyako.
Loh yaan huko kukosa usingizi naona hadi nilikuwa mlinzi wa hiyari, mimba ikiamua kukutesa ni shida sana... Mmmh upumzike kwa amani mwanangu!
Ni hali ya kawaida,mi kipindi changu sikutaka kuongea na mwenzangu hd najifungua. Yaan nilikuwa nahisi km donge fulan limenikaba rohon hivyo nafuu yangu ilikuwa ni kutomsemesha. Alikuwa anataman sn kuongea na mm ila ndio hivyo na ht nilipokuwa namjibu basi badae ntahangaika sn kwa kutapika.
Thanks God now mtoto wetu ana mwaka na miezi 6 ila baba ndo hayupo tena......dah kwakweli Mungu ana makusudi yake,hamu yote ya mtoto aliyokuwa imepotea km ndoto. Apumzike kwa amani!
kuna mmoja hapa kitaa ananikata jicho la shari utadhani mie ndo muhusika
Asante sana chief bado naishi kwenye subira Mungu ana sababu zake.Mungu ana sababu zake mkuu..kama ipo ipo tu! Kesho kuila leo ni uroho!..
Yeah ni kweli nimeshafanya mawasiliano na wote tuko poa naamini suala la muda ila nadhani unaelewa ile hamu ya kinda inavyokua.Kwa wakati wa Mungu atawapa haja ya mioyo yenu! lakini pia ni vizuri mkiwaona wataalam wa haya mambo! poleni sana!
Sijui wanawake wote wakibeba mimba wanakuwa hivi au ni huyu wa kwangu tangia abebe mimba ndani hakukaliki mara nina hamu na kitu fulani ukileta hali, amehama chumbani eti kinatoa halafu mbaya analala kwa housegirl.
Nimejitahidi kufanya usafi lakini wapi hataki hata kuingia humo nimebaki nalala mwenyewe kwa kweli kuna maudhi mengi mpaka nachoka hivi ni kweli hizo mimba zinawafanya hivyo.
Nimejaribu kuongea na marafiki ambao wenzi wao walibeba mimba walichonieleza anayoyafanya huyu wangu ni cha mtoto hivi kweli kwamba mimba huwafanya hivyo au mnatufanyia makusudi.
Asante sana chief bado naishi kwenye subira Mungu ana sababu zake.
Yeah ni kweli nimeshafanya mawasiliano na wote tuko poa naamini suala la muda ila nadhani unaelewa ile hamu ya kinda inavyokua.