Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

Molembe

Mkuu pole!
Ila ktk ulimwengu wa roho (hayo huwa ni mapepo) kwa iman yangu,
Mungu aliweka ndoa kama jambo la faraja na upendo, ujio wa mtoto ni furaha kwa wote wawili, (iweje mwingine asononeke kwa ujio huo) inafika mahali unajuta,

Mabadiliko ya mwili yapo tena sana tu na ukiyaendekeza ndo huge uka mapepo sasa!

Kitaalamu wanasema mtoto akiwa tumboni anaanza tambua uwepo wa watu wanaomzunguka (siko vizur eneo hilo) that's wazazi, na hapo ndo upendo unapoanzia, hutaki kulala na baba wa mtoto, upendo wa baba mtoto ata sense saa ngapi ilihali kutwa yuko kwenye mihangaiko,

Tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho umebeba mimba wewe ni mi hasira tu! Unategemea mtoto atakuwa na upendo? Mtoto ni baraka! Isigeuke karaha

Ni wachache wataliewa hili!!
Tufike mahali tutofautishe mapepo na Mabadiliko ya mwili!
 
Last edited by a moderator:
lugha chafu za nini sasa... naomba uzianzishe ligi ambayo hutamaimaliza tafadhali, nina mdomo mchafu sana ila naomba usiniharibie siku yangu mapema yote hii.

Lugha chafu ni definition yako mwenyewe.yaani Ibebe wewe ni lugha chafu?????
 
Mkuu pole!
Ila ktk ulimwengu wa roho (hayo huwa ni mapepo) kwa iman yangu,
Mungu aliweka ndoa kama jambo la faraja na upendo, ujio wa mtoto ni furaha kwa wote wawili, (iweje mwingine asononeke kwa ujio huo) inafika mahali unajuta,

Mabadiliko ya mwili yapo tena sana tu na ukiyaendekeza ndo huge uka mapepo sasa!

Kitaalamu wanasema mtoto akiwa tumboni anaanza tambua uwepo wa watu wanaomzunguka (siko vizur eneo hilo) that's wazazi, na hapo ndo upendo unapoanzia, hutaki kulala na baba wa mtoto, upendo wa baba mtoto ata sense saa ngapi ilihali kutwa yuko kwenye mihangaiko,

Tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho umebeba mimba wewe ni mi hasira tu! Unategemea mtoto atakuwa na upendo? Mtoto ni baraka! Isigeuke karaha

Ni wachache wataliewa hili!!
Tufike mahali tutofautishe mapepo na Mabadiliko ya mwili!

Pepo linakuja na mimba na kuondoka na mimba?
Pepo linaongoza all senses?
Vipi yule anaejisikia kumpenda mwenza wake kupita kiasi nalo ni pepo?
 
Nikipitia comment nyingi hapo juu naona kama watu wengi kati yao wanategeme kuwa baba soon. Hata wa kwangu nae anadeka balaa mara nataka bags,mara mchemsho mara kaona MTU anakula ugali na dagaa na yeye anadai basi vurugu tu. Na inabidi utii. Ila ndio ina miezi 2 nategea baada ya miezi 9kukamilika ntakua baba In shaa Allah.
 
Pepo linakuja na mimba na kuondoka na mimba?
Pepo linaongoza all senses?
Vipi yule anaejisikia kumpenda mwenza wake kupita kiasi nalo ni pepo?

Umeisha sema anampenda!
Lengo la ndoa msichukiane bali mpendane!

Hizo ni roho zimesimama ktk neno MIMBA kuvuruga aman na upendo kwa wanaondoka!

Imagine miezi 9 hujali naye pengine huli in the name MIMBA ni kinafuata kwa mwenza wako! Lazima atashawishiwa kwenda nje! Then what next?
 
Jibu maswali yangu kwanza ili uweke wazi watu wakuelewe..
Kumbe haujui upendo ukipitiliza ni kero!
 
Nahisi kujiendekeza kwingi ndio tatizo, pia kutaka kumhangaisha mwanaume kwa kiasi ambacho mwanamke hawezi katika hali ya kawaida. Najua kubeba mimba ni kazi maana hata mimi nimeshabeba na nnachoweza kusema ni kwamba vitu vinavyotamaniwa vingi sio vipya, yani ndo vile vile anavyotamanigi mtu wako siku zote sema tu anashindwa kudemand. Pia ujasiri wa kuweza kukwambia 'unanuka' au 'sivutiwi na wewe' unapatikana maana anakuwa haogopi matokeo ya hayo maneno sababu ana'KISINGIZIO' (mimba) cha kufanya na kusema chochote.

Mvumilie tu muda ufike maisha yaendelee kama kawaida.
 
Jibu maswali yangu kwanza ili uweke wazi watu wakuelewe..
Kumbe haujui upendo ukipitiliza ni kero!

Mkuu mimi ke, na naongea vitu ninavovielewa mimi sio lazima nawe uelewe!

Ndo maana nikasema si wote watalielewa hili, maana kama kwa maneno ya kawaida tu hayo umeshindwa kuelewa yajayo ndo kabisaaaaa! So bora tuishie hapa!

Mabadiliko yapo ya kisayansi yanaeleweka, na shetan analeta ya kwake ! Ukishindwa kutofautisha hapo utapelekwa sana tu!!!
 
Ha ha ha! Haichekeshi lakini inabidi nicheke, mi tulikuwa tunatoka Posta kuelekea Kimara, eti tukifika Ubungo anasema ana hamu na Chipsi za Edo, kwa hiyo inabidi turudi Namanga, dah.

Ila nina swali silielewi, mbona wanafunzi au watu wasio na wanaume around mimba zao hazina matata matata? Yaani unakuta kama demu ana mimba Chuoni maisha yanaenda hadeki wala halalamiki kama hawa wake zetu.
 
mimi naishi nae mbali kdogo sasa wiki ilopita nilienda kumsalimu bila kumpa taarifa,niliambulia kununiwa mpk naondoka cjaona meno yake wkt co kawaida yake..yan navumilia tu iyo miezi 6 ilobakia iishe mana nshachoka vituko vyake
 
Ha ha ha! Haichekeshi lakini inabidi nicheke, mi tulikuwa tunatoka Posta kuelekea Kimara, eti tukifika Ubungo anasema ana hamu na Chipsi za Edo, kwa hiyo inabidi turudi Namanga, dah.

Ila nina swali silielewi, mbona wanafunzi au watu wasio na wanaume around mimba zao hazina matata matata? Yaani unakuta kama demu ana mimba Chuoni maisha yanaenda hadeki wala halalamiki kama hawa wake zetu.

Kwa nini ateseke na wewe upo? HAta hao unaowaona wagumu wanatamani kudeka.
 
Mkuu pole!
Ila ktk ulimwengu wa roho (hayo huwa ni mapepo) kwa iman yangu,
Mungu aliweka ndoa kama jambo la faraja na upendo, ujio wa mtoto ni furaha kwa wote wawili, (iweje mwingine asononeke kwa ujio huo) inafika mahali unajuta,

Mabadiliko ya mwili yapo tena sana tu na ukiyaendekeza ndo huge uka mapepo sasa!

Kitaalamu wanasema mtoto akiwa tumboni anaanza tambua uwepo wa watu wanaomzunguka (siko vizur eneo hilo) that's wazazi, na hapo ndo upendo unapoanzia, hutaki kulala na baba wa mtoto, upendo wa baba mtoto ata sense saa ngapi ilihali kutwa yuko kwenye mihangaiko,

Tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho umebeba mimba wewe ni mi hasira tu! Unategemea mtoto atakuwa na upendo? Mtoto ni baraka! Isigeuke karaha

Ni wachache wataliewa hili!!
Tufike mahali tutofautishe mapepo na Mabadiliko ya mwili!

Kweli kabisa
 
Ni mabadiliko yanayo mtokea na ni ya kawaida kwa wanawake wajawazito MPE support na umchukulie ka alivo.
Ka unaona anakusumbua na wewe beba mimba uone moto wake.

Da nakuambia nimechakaje dada.
Kumbe huwa ni moto jamani.
Kumbe mama zetu wana kazi kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom