Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,153
wengine wana act
Kama vinaigizika na wewe igiza.
wengine wana act
Ila harufu za kiume na wali vinachefua...
Ila harufu za kiume na wali vinachefua...
Mrudishe kwa mama ake mzazi kwanza.
wengine wana act
Ni kweli kabisa mie kuna kaharufu kalikua kananipotezea mood kabisa yaani akiwa mbali natamani nimuonee ila akifika tu na ile harufu duh najitahidi nijichekeshe ila nashindwa yaani najisikia ovyo ovyo basi tu.
Yeye ndo alimtia mimba?
Mwanaume kamili hakimbii majukumu.
Wakuu. Mke wangu katika hali hii kazidisha kunipenda sana,nikitoka tu nyumbani natafutwa. Ila yeye hapendi nyama,wali...anapenda sana ndizi rost,chips. Ila vituko vya ghafla haviishi kwake,mf anaweza kumzingua mtu kwa hasira...ila wakati wa ujauzito kwa ndoa hizi ni kumwomba Mungu tu sijui afupishe kipindi ata kiwe miezi mitatu...maaana.
kama mtu anajifanya Yupo Location kwenye bongo movie kila siku unafanyaje sasa..
Ibebe wewe
Ikiwa hivyo wewe unakuwa director ili movie iwe nzuri