Wanawake WAJAWAZITO

lol Salamuu Maria......mmmh, hiii dunia kwisha kazi yake!!!, sasa si uende wodini ukamalize hamu, nikikuona nyuma ya mama watotowangu walahi, nakushusha busha lol.

hahaha mwenzenu ndio anapenda hivyo jamani ...mkewe atakuwa anazaa kila mwaka..:D
 
sidhani kaa hii kweli ni jambo la ajabu .....labda kwa watanzania
ila wazungu wana mpaka website za `wakubwa` za akina dada wajawazito tu!
sasa nafikiri huyu ana asili ya wazungu ....

anyway pregy ppl need sum luv too ......just sayin :D
 
Mbona hamniamni? nifanyeje mwaamini tatizo langu hasa? wengi wanachukulia masihara, sina asili ya mzungu wala nini mimi ni mweusi tii kama MPOKI wa ze comedi
 
sasa kwa vile tatizo hilo linawakumba sana wazungu na sie watanzania halitupati sana, unaonaje kama ungetoa tatizo lako kwenye website ya wazungu wakakupa suluhisho!
manake kwa watanzania utakesha jibu hupati

kwa ushauri zaidi nenda kwa daktari wa mambo ya saikolojia anaweza kukusaidia zaidi
 
nashukuru kwa ushauri wako ndugu, naomba website mojawapo tafadhali
 
Back
Top Bottom