Wanawake WAJAWAZITO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake WAJAWAZITO

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Celebrity, Mar 10, 2010.

 1. Celebrity

  Celebrity Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi napenda sana wanawake wajawazito infact nikimwona tu anatokea naenda mnara naweza kupanda daladala naye na nishuke mpaka afike na mimi nageuza tena. hata ofisini nikimwona mdada anadalili za kupata mimba au ana mimba nakuwa naye karibu hata chai namwandalia sema wengi huwa mimba zao hazinipendi.

  Ni ugonjwa au ni nini? napenda kweli wajawazito nitaachaje hii tabia?
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,996
  Trophy Points: 280
  DUH KAAAAZI KWELIKWELI, wewe ni wa kike au wa kiume?
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mie naona una bahati.ndio wito wako Mungu amekupa wa kuwapenda na kuwasaidia wajawazito.
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Zinapandikizwa hizo siku hizi.... we tangza tenda tuuu...utaalamu upo!!!
   
 5. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe huwa napenda kweli kuwaona wanawake wakiwa wajawazito,nikiwaona nafurahi mno huku nikiwaza siku yake ikifika atavyohangaika
   
 6. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  ndivonduma sir, hawa unawawajuaje ???
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hahahahahahahaa.jamani makubwa.na wewe unafurahia mateso?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  ungenielewesha ningefurahi zaidi
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mmmh kaka usije mbaka dada wa watu na uja uzito wake!
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha watu mna vituko jamani ....ni afadhari uwapende hivo hivo usivuke mipaka
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,853
  Likes Received: 23,468
  Trophy Points: 280
  Hahaha! We lazima utakuwa mnajimu! Hapo kwenye bold umenimaliza kabisa!
   
 12. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  wana kajoto fulani hivi ndio maana mjamaa anajisogeza karibu ao,hasa wakiwa kwene miezi 7 hivi huwa wazuri kweli kweli..!
   
 13. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  nafurahia mateso yao sana lakini sijui kwanini huwanikimwona mjamzito kwanza navuta picha mkunga anasema puhiiiiiiiiiiiiiiiiiii, basi moyo wangu husuuzika mno!
   
 14. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  Umeoa?
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kweli tumeubwa tofauti.
  Afu nimewahi sikia kuwa kuna wanaume wanapenda kusex na wajawazito.eti ni kweli?
   
 16. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Something must be wrong somewhere, nadhani huna kazi ya kufanya, unawezaje kupanda daladala na mtu na kumfuata nyuma nyuma kama mkia eti kisa umeipenda mimba yake na wewe si utafute mpenzi wako umjaze mimba uwe unamtumbulia macho 24/7.,halafu unaposema eti hata ofisini ukiona mdada ana dalili ya kupata mimba..huwa unajuaje mtu mwenye dalili ya kupata mimba, au unakula chabo mazee?..,lol si ajabu ndio maana mimba zao hazikupendi.
   
 17. Celebrity

  Celebrity Member

  #17
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dalili za mwanamke anayekaribia kupata mimba huwa wanachecheka sana, na kuwa na endless smile. Pia wanawapigia waume zao simu kila mara na hutaja maneno ya kimapenzi/kmahaba.

  Bado siwezi hata kupata mchumba kwa vile mimi napenda mtu mjazito tu sasa kumwaproach mjamzito kazi ngumu sana kuliko kuzibua vyoo vya city.

  Sina kazi ya kufanya? ur very rude, nimekwambia nisaidie niepuke hili tatizo la kupenda wajawazito wa wtu wewe unanitusi. Mida ya kuwafata ni wakati wakutoka job jioni au wk end nakaaga Agha khan hospital natabasamu naungaga nafoleni sometimes pale chini upande wa clinic
   
 18. T

  Tall JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Si bure.
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Mimi ninachojua wanawake wajawazito wanapenda kufanya mapenzi ili kufungua njia! :)
   
 20. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kweli nahisi unahitaji msaada wa kisaikolojia. Sasa nikuulize, unapenda kuwaona tu au huwa unakwenda ''an extra mile'' ya kutamani kufanya nao mapenzi?

  Hapo kwenye red pamenishtua! Aisee siku nikioa mke wangu nitakuwa nampeleka clinic mimi mwenyewe! Nimeshtuka!
   
Loading...