Wanawake wajawazito nao hutongozwa?

Wanawake wajawazito nao hutongozwa?

Niliwahigi kutembea na mke wa fundi seremala aliyekuwa akinifundisha kazi hiyo. Kila nikitumwa kwenda kutengeneza kitu mahali, chap chap nilikuwa nawahi nyumbani na shem bila hiyana anazamia chumbani kwangu tena kyupi kishatoa. Namtoa jasho la haraka haraka kisha naenda nilikotumwa. Sintaisahau miaka hiyo ya neema si ka leo hii magpnjwa kila kona
Una moyo, na fundi akirudi unamwamkia viruzi kwa adabu. Huyo mama alikuwa hajatulia tulia😛😛
 
Sky Eclat;
Tatizo lako hujakutana na ntu mwenye pepo mahaba. Ilikuwa nke wa ntu havuki 18 zangu. Shem alikuwa katulia kuliko wanawake wote nliokutanaga nao. Tena hishima debe, lakini kale kapepo nlikokuaga nako kakamchanganya vibaya.
 
Hivi ulimuanzaje?
 
Hivi ulimuanzaje?

Nilimuanza kwa kumwagia masifa ya uzuri aliojaaliwa. Nkaomba avue tu akae mbaliiii nimdeku tu. Mwanzo aibu baadaye akafanya kweli. Kwa ahadi kuwa sintarudia. Si wajua tena, mwanzo mgumu ila ukishaanza ni mteremko tu hakuna tena milima huko. Mpaka nilipohama jiji nkaenda mikoani tena bila kuaga kwani alikuwa mjamzito
 
Kwa hiyo inawezekana mtoto ni wa kwako?
 
Kwa hiyo inawezekana mtoto ni wa kwako?

Mtoto ni wa mwenye mke, mwizi huwezi halalisha mali za wenyewe. Ka ningelikuwepo ningepeleka chakula wazi wazi kwa shem na hata kufua nguo za mtoto kumsaidia shem apone. Sa ningethubutuje kumsema kuwa ni wangu??
Akinifanana hata shule huwa tunalipia ada ka msaada tu kwa fundi wangu. Mbona yule beki tatu alitoka hapa home akiwa kashiba maharage na nikamtoa kwa send off kubwa na mbwembwe. Alipojifungua, nikawa wa kwanza kumtembelea hospitali na mamsap wangu. Tukatoa sifa kemkem kuwa alikuwa na hishima sana na hatujawahi kuwa na binti mwenye hishima namna hiyo. Kumbe toto langu
 
[quote uid=372876 name="mtwamvina" post=17256419]Save for futute use[/QUOTE]<br />Samahani mkuu!, umechanganya kiingereza Na lugha gani tena?, dictionary yangu ime-jam
Nimecheka sanaaaaa
 
He he he he ...alokuambia ni wajawazito wote wanakua rafu nani...mydia hahahaha....watu wanajipimp na mimba zao na ukute mimba imempenda aiseee...tembea uone. .
Mfano mdgo muangalie zari mimba zake....hutongozi pale??
Yaani kwa uzuri na akili ile ya Zari hata akiwa mchafu kama nguruwe analika vizuuri tu kama ice cream.[emoji487]
 
Bahati mbaya hujaelewa mada lakini umekimbilia kuhukumu, Ila kuna kitu umenisaidia kujifunza!, zamani nilikuwa najiuliza inakuwaje darasani wote mnafundishwa Na mwalimu mmoja"A,E,I,O,U. Na " A,B,C,...,X,Y,Z!, halafu wengine wanapata 100% Na wengine wanaambulia 0%.
we ndo ulisha pigwa zero tena ya maana.mwanaume mzima unakuja kulialia hapa jf kwa mambo yenu ya kitandani halafu tukitoa mawazo yetu na ushauri unakuja kubwabwaja maneno hapa,ulitegemea tukuambie nini.ukileta tu mada huku jf lazima uwe umejianda vizur kisaikolojia
 
Narudia tena!, Soma mada uelewe ndio ujue cha kuchangia!, hakuna nilipolia, Na Kuna wengi wametoa mawazo yao sijawakatalia, jiulize kwa nini peke yako nakushauri urudie kusoma mada Na uilewe ndio uchangie!.
 
Sawa lakini wakati Fulani nikifanya kazi kwenye community call box niliwahi shuhudia dada mmoja akimshirikisha mwanaume yake ampige mkwara kwenye simu jamaa mwingine aliekuwa king'ang'anizi, sijui hii kwako imekaaje?
Asante Ndugu yangu, binafsi naaamini kuwa mwanamke kutongozwa ndio silika yao, hebu fikiria utakuwa umeoa au umeolewa na mwenza gani asiyeleta mvuto kwa mtu mwingie yeyote nje yako? Bila shaka hicho kitakuwa kipimo cha wrong choice yako. Sasa basi kama mtu mzima akitongozwa ajue jinsi ya kukwepa na kutojirahisi, ipo mifano ya wanawake waliosababisha madhara makubwa tu baada ya kuwafanya waume zao wapandwe na jaziba kwa mambo abayo wangeyamaliza wenyewe, vivyo hivyo na mimi sijawahi mweleza mke wangu mashoga zake wanaonitegatega
 
Mtoto ni wa mwenye mke, mwizi huwezi halalisha mali za wenyewe. Ka ningelikuwepo ningepeleka chakula wazi wazi kwa shem na hata kufua nguo za mtoto kumsaidia shem apone. Sa ningethubutuje kumsema kuwa ni wangu??
Akinifanana hata shule huwa tunalipia ada ka msaada tu kwa fundi wangu. Mbona yule beki tatu alitoka hapa home akiwa kashiba maharage na nikamtoa kwa send off kubwa na mbwembwe. Alipojifungua, nikawa wa kwanza kumtembelea hospitali na mamsap wangu. Tukatoa sifa kemkem kuwa alikuwa na hishima sana na hatujawahi kuwa na binti mwenye hishima namna hiyo. Kumbe toto langu
Bado unahudumia?
 
Asante Ndugu yangu, binafsi naaamini kuwa mwanamke kutongozwa ndio silika yao, hebu fikiria utakuwa umeoa au umeolewa na mwenza gani asiyeleta mvuto kwa mtu mwingie yeyote nje yako? Bila shaka hicho kitakuwa kipimo cha wrong choice yako. Sasa basi kama mtu mzima akitongozwa ajue jinsi ya kukwepa na kutojirahisi, ipo mifano ya wanawake waliosababisha madhara makubwa tu baada ya kuwafanya waume zao wapandwe na jaziba kwa mambo abayo wangeyamaliza wenyewe, vivyo hivyo na mimi sijawahi mweleza mke wangu mashoga zake wanaonitegatega
Kwa wanawake walivyo, ukimweleza wenzake wanavyokutega/jirahisi kwako asilimia kubwa huwa wanamaindi, wanajua hatuwezagi kujizuia tukianzwa kupendwa hasa na watoto wanaoonekana wakali zaidi Yao.
 
Back
Top Bottom