Wanawake wajawazito nao hutongozwa?

Wanawake wajawazito nao hutongozwa?

He he he he ...alokuambia ni wajawazito wote wanakua rafu nani...mydia hahahaha....watu wanajipimp na mimba zao na ukute mimba imempenda aiseee...tembea uone. .
Mfano mdgo muangalie zari mimba zake....hutongozi pale??
 
Kwanza sijawahi kukubali hata kuanza kusikikiza mwanzo wa hadithi za hao wanao mtongoza, na huu ni msimamo ambao nilijiwekea.
Sasa ukiona mwamake wako anaanza kukusimulia upuuzi wa aina hiyo ujue ipo shida au wewe unae kubali kusikikiza wanao taka kumvua chupi ndio una matatizo.
Na kama anakusimulia kwamba mashosti zake hua wana gegedwa, sasa hapo wewe unatarajia nini[emoji47], au nasubiria hadi na yeye akusimulie walio kwisha mgegeda[emoji51]
Ebu jifunze kutogeuzwa zoba aiseeee..... usiruhusu kusikiliza ujinga wa aina hiyo kabisa[emoji135] [emoji135]
Ni mtizamo wako, sio sheria lakini
 
He he he he ...alokuambia ni wajawazito wote wanakua rafu nani...mydia hahahaha....watu wanajipimp na mimba zao na ukute mimba imempenda aiseee...tembea uone. .
Mfano mdgo muangalie zari mimba zake....hutongozi pale??
"...ukute mimba imempenda...!", Na mimba ikimchukia inakuwaje?, ndio maana katika usimuliaji wangu nimetumia neno "wengine!".
 
Waje waliowahi kupata mimba ndo watupe mrejesho!
 
ndoa changa ni shidaa .......what i know mwanamke akiwa na mimba anakwa na joto sana
 
Kuwa makina na huyo wifi wetu kwa huyo jamaaa,unaweza kupewa taarifa kumbe jamaa kashagegeda kitaaambo,chunguza kwa makin je anayokwambia ni kweli?
Huenda hata huo ujauzito c wakwake ni wa huyo mchizi, yeye anapalilia tu kapanda mwingine
 
daah na kile kitumbo jaman unamkunja kabisa unatakiwa uwe na roho ya kijasiri sana....

ila kua mwangalifu na mkeo kuna ule msemo unasema "show me ur friends and i will know who you are" sasa kama mashost zake wanapigwa sound itakuaje kuhusu yeye...... na unauhakika gan kama hajawakubalia
 
Wanaume nyie waongo na wanafiki wakubwa, mama mjamzito mchafu huyu anamatatizo yake ya uchafu, lkn tangu lini uchafu ama harufu mbaya umekuwa tatizo kwa Wanaume? Mbona mnalala na wendawazimu, vichaa, kina dada poa, hausgal aliyetoka leo kwao mbalizi, hajui kuoga wala kupaka mafuta? Tena mnikome mama Kijacho mimi, tena nimkali haswa sipendi majungu, Shwwainiiiiii
huwa unaoga mara ngapi kwa siku? 🙂🙂🙂
 
uwa wanawatongoza alafu akishajifungua wanajisemesha kuwa wanamapenzi ya dhati kwani amekupenda tangu ulipokuwa mjamzitona sababu nyingine huwa wanajua wajawazitoukimdanganya ntalea mtoto ntakuhudumia kila kitu alafu mjamzito akifikiria aliyempa hamjali so inakuwa rahc kushawishika so wanachukulia hiyo kama opportunity ya kuwatongoza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu umenikosha
Ndugu yangu nyumbatatu chukua tahadhari! Ukiona mkeo anakusimlia watu waliomtongoza "akawakatalia" jua moja unapigwa changa la moto si mwaminifu! Mwanamke mwaminifu aliefundwa hasemi na akisema ili iweje?
 
Eti shemu, waliokutongoza ukawakubalia huwa unaenda pia kumsimulia kaka yetu?
Bahati nzuri jibu la swali lako ninalo mwenyewe!, sio tu hajawahi kuniambia, Bali pia Mimi mwenyewe namuamini kwa Kiwango cha kumshangaza kwa kutofuatilia/dodosa maisha yake baada ya kumpa kisogo, yuko huru Na simu yake, hata akiisahau karibu yangu atakuta missed calls Na SMS zote, Na yote hayo nayaweza kwa kuwa hadi muda huu sijawahi kumsoma akiishi au kujaribu maisha ya kuvizia. Lakini yote tisa, ...kumi ana tahadhari yangu kuwa siku yoyote nitakapobaini Na kujiridhisha kuwa kaharibu, akili yangu itakachonituma sitahangaika kutafuta U-turn!, kwani mpaka nakuwa Na yeye Kuna ma-X wangu waliokutana Na maamuzi yangu magumu.
 
Stuka huyo kakwambia aliyemtaaa tu je kwanini hakwambii aliyewakubali,
Mwanamke mwenye mimba mtamu sana na hasa yule mwenye mimba ya mtoto wa kike maana hapo unakuwa unapata radha Mara mbili its so amaizing
 
Huenda hata huo ujauzito c wakwake ni wa huyo mchizi, yeye anapalilia tu kapanda mwingine
Bahati mbaya hujaelewa mada lakini umekimbilia kuhukumu, Ila kuna kitu umenisaidia kujifunza!, zamani nilikuwa najiuliza inakuwaje darasani wote mnafundishwa Na mwalimu mmoja"A,E,I,O,U. Na " A,B,C,...,X,Y,Z!, halafu wengine wanapata 100% Na wengine wanaambulia 0%.
 
Nawapenda sana,,nimwingine kanitongoza mwenyewe ila nipowauliza jamaa wakasema eti anangoma ,,,na alivyo pendeza kidogo tu nitufue,,,wanak,,,,tamuuu sana na jJoto
Hao jamaa waliokwambia ana ngoma, ni watumishi wa Angaza/kituo cha afya wanaotoa siri za Wanaowahudumia, au ni jirani/ndugu/rafiki waliochabo majibu ya vipimo vyake?
 
Back
Top Bottom