Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Relax basi mama Kijacho huu mchezo hauhitaji HasiraaWanaume nyie waongo na wanafiki wakubwa, mama mjamzito mchafu huyu anamatatizo yake ya uchafu, lkn tangu lini uchafu ama harufu mbaya umekuwa tatizo kwa Wanaume? Mbona mnalala na wendawazimu, vichaa, kina dada poa, hausgal aliyetoka leo kwao mbalizi, hajui kuoga wala kupaka mafuta? Tena mnikome mama Kijacho mimi, tena nimkali haswa sipendi majungu, Shwwainiiiiii