Bado unahudumia?
Japo sina mahusiano tena lakini huwa namtupia mtoto kitu kidogo. Siku hizi lishakuwa dume kubwa tu na inaonesha babake anampenda. Hofu yangu ni atakapoamua kuoa, sijui ka mamake atathubutu kumtuma kwangu. Tuko mkoa mmoja tu
Bado unahudumia?
UCHAFU NI HULKA YA MTU kwa hiyo si kila mwanamke mjamzito ananuka kama ufikiriavyo labda ulikutana mtu asiyejua nin maana ya usafi ukiwajuisha wote unakosea sanaWatamu hao wana joto amazing ila tatizo uchafu,harufu,na kutokaa smart
Kwanza sijawahi kukubali hata kuanza kusikikiza mwanzo wa hadithi za hao wanao mtongoza, na huu ni msimamo ambao nilijiwekea.
Sasa ukiona mwamake wako anaanza kukusimulia upuuzi wa aina hiyo ujue ipo shida au wewe unae kubali kusikikiza wanao taka kumvua chupi ndio una matatizo.
Na kama anakusimulia kwamba mashosti zake hua wana gegedwa, sasa hapo wewe unatarajia nini[emoji47], au nasubiria hadi na yeye akusimulie walio kwisha mgegeda[emoji51]
Ebu jifunze kutogeuzwa zoba aiseeee..... usiruhusu kusikiliza ujinga wa aina hiyo kabisa[emoji135] [emoji135]
Mmmmh huyo daktari labda amekupenda tuhadi madaktari tukienda clinic wanabembelezea hadi basi
Sisi wanaume tuna matatizo kusema kweli kama mtu unahamu hivyo na joto siuchomeke kwenye gesi tujue moja.Wanakuwa na Joto moja muruaaa Sana Huko kunako Mgodi.
Kutongozwa kwa mwanamke hakujalishi ana ujauzito au Hana