Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,461
- 102,215
Nishamjua kumbe yule ndio demu wako 🤣🤣🤣Mbona kama umemtaja fulani wangu 😋
Nishamjua kumbe yule ndio demu wako 🤣🤣🤣Mbona kama umemtaja fulani wangu 😋
Bodyguard aliacha lindo rasmi, akafanya kazi yake ,hahahahaha, natamani ile kazi irudi tena ya UlinziUncle bodyguard 😁😁
Demu? Heshima tafadhali 😂Nishamjua kumbe yule ndio demu wako 🤣🤣🤣
Wivu muhimu aise acha mambo ya ajabu mkuu..Yani umemuelezea yeye kabisa kasoro wivu tu
Hahahahaha,sijaelewaHuoni Kama unamuonea spesho grup.
Ko hunitaki 🤣🤣🤣tooooka hapa na ufupi wako 😂
Nani atie huruma 😂
Unapenda heka heka si bure😆😆Bodyguard aliacha lindo rasmi, akafanya kazi yake ,hahahahaha, natamani ile kazi irudi tena ya Ulinzi
Kama mnaenda kupanda school bus 😂😂Wivu muhimu aise acha mambo ya ajabu mkuu..
Shemeji yako ni mrefu sasa akinikorofisha nikichukia😁😁ni visigino ndio utaona maana ninavutika mpka mawinguni 😁😁
Akinishika mkono naonekana kama mwanafunzi ananipeleka shule😁😁😁
View attachment 2775385
Watu wafupi ni kundi moja na watu wenye mahitaji maalum.Hahahahaha,sijaelewa
Sijibu kitu 😂Ko hunitaki 🤣🤣🤣
Apia
🤣🤣🤣🤣Demu? Heshima tafadhali 😂
Hapatakalika hapa soon
Unamuitaje demu au kisa ushapata wa kukuoa?🤣🤣🤣🤣
Ni kweli kabisa😆😆 tofauti ni pensi,tshirt na kofia tu😁😁Kama mnaenda kupanda school bus 😂😂
Hahahahahah,za kwako tu na si zingine ,ndio na enjoy ,najisikia hadi raha, na nimezimithi ,kuwa guard 😂😂Unapenda heka heka si bure😆😆
Shindwa pepoWatu wafupi ni kundi moja na watu wenye mahitaji maalum.
Wanahitaji uangalizi maalum.
Kuna siku nitakuuzia ugomvi udundwe 😆😆Hahahahahah,za kwako tu na si zingine ,ndio na enjoy ,najisikia hadi raha, na nimezimithi ,kuwa guard 😂😂
Hahahahahahahaha,dah ,ndo maana huwa napenda mambo yao, kuwadekeza ili ni enjoyWatu wafupi ni kundi moja na watu wenye mahitaji maalum.
Wanahitaji uangalizi maalum.
Rudi nyuma shetani shiii shiii.Shindwa pepo
🤣🤣🤣 emu Jibu kwanzaSijibu kitu 😂
Hahahahaha,hofu yangu ni kwamba hilo eneo lisije kufungwa na vijana kuumiaa,😂😂Kuna siku nitakuuzia ugomvi udundwe 😆😆