Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,599
Sema mnakuwaga mmejaaliwa traqo na hips, mmenyimwa urefu tu 😅Ni kweli kabisa😆😆 tofauti ni pensi,tshirt na kofia tu😁😁
Nilitaka kusahau na miguu mizuri mifupi 😂
Sema mnakuwaga mmejaaliwa traqo na hips, mmenyimwa urefu tu 😅Ni kweli kabisa😆😆 tofauti ni pensi,tshirt na kofia tu😁😁
We kapike jibu unalijua ila unakaza komwe 😂🤣🤣🤣 emu Jibu kwanza
Naenda kupika usiniite nitaunguza
🤣🤣🤣 kila mtu na demu wake!!Unamuitaje demu au kisa ushapata wa kukuoa?
🤣🤣🤣🤣We kapike jibu unalijua ila unakaza komwe 😂
mi ntaoa 😂🤣🤣🤣 kila mtu na demu wake!!
Mwenzio naolewa hivo
Kapike, nenda saa 7 hii au ndio unapikia juani? Unaivisha chakula na joto la jua 😂🤣🤣🤣🤣
Useme mapema tukuchangie!!mi ntaoa 😂
Napikia kuni, nikiinjika jungu mwenyewe natoka moshi mkali 🤣🤣🤣Kapike, nenda saa 7 hii au ndio unapikia juani? Unaivisha chakula na joto la jua 😂
Sioagi demu ntaoa mwanamke.Useme mapema tukuchangie!!
Ko unamuoa yule demu? 🤣🤣🤣
Acha kukaza shingo mwana wa MunguRudi nyuma shetani shiii shiii.
Kande jpili? Kwani upo vitani jirani 😂Napikia kuni, nikiinjika jungu mwenyewe natoka moshi mkali 🤣🤣🤣
Napika kande jirani
Natamani nimtag ila nitazua ugomvi na demu wako 🤣🤣🤣Sioagi demu ntaoa mwanamke.
Sasa tutapewaje ufupi halafu miguu iwe mifupi😆😆Sema mnakuwaga mmejaaliwa traqo na hips, mmenyimwa urefu tu 😅
Nilitaka kusahau na miguu mizuri mifupi 😂
HahahahahaNatamani nimtag ila nitazua ugomvi na demu wako 🤣🤣🤣
Sina demu mimi ishia hapo hapo au unataka ujitag 😂Natamani nimtag ila nitazua ugomvi na demu wako 🤣🤣🤣
Hahahahahahaha,kipenziSasa tutapewaje ufupi halafu miguu iwe mifupi😆😆
Nitakudunda ujue😁
Ila mizuri 😋Sasa tutapewaje ufupi halafu miguu iwe mifupi😆😆
Nitakudunda ujue😁
Jirani maisha magumu jpili ya matajiri km nyie 🤣🤣🤣Kande jpili? Kwani upo vitani jirani 😂
Sasa kuni si special kwa watu wafupi maana hawafikii meza za jiko la gesi?
😁😁😁😁Hahahahaha,hofu yangu ni kwamba hilo eneo lisije kufungwa na vijana kuumiaa,😂😂
Wana miguu mizuri sana tena sana ,raha kuichezea chezeaSema mnakuwaga mmejaaliwa traqo na hips, mmenyimwa urefu tu 😅
Nilitaka kusahau na miguu mizuri mifupi