Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,788
- 51,554
Kwani si useme tuko vizuri jaman😁😁kwani mpka uweke kasoro?Ila mizuri 😋
Kauli zenu zinafanana kama hiyo ntakudunda ujue 😅
Kwani si useme tuko vizuri jaman😁😁kwani mpka uweke kasoro?Ila mizuri 😋
Kauli zenu zinafanana kama hiyo ntakudunda ujue 😅
Hahahahaha,na nilipenda ulivyokua unajiamini ,safi sana ,uko vzr😁😁😁😁
Nimecheka sana.
Sijui nilijiamini nini😁
🤣🤣🤣 nimtaje afu nitoke ndruuukiiSina demu mimi ishia hapo hapo au unataka ujitag 😂
Mpo vizuri bhana nimechoka kuzunguka 😅Kwani si useme tuko vizuri jaman😁😁kwani mpka uweke kasoro?
Shauri yako 😂🤣🤣🤣 nimtaje afu nitoke ndruuukii
Nimefanyaje Tena jamani??Hahahahahahaha,kipenzi
Basi komaa na kuni zako unuke moshi mpaka masikioniJirani maisha magumu jpili ya matajiri km nyie 🤣🤣🤣
Me mrefu sema sina pesa za kununua jiko la gesi
Mbwa kala mbwa😆😆chaeeeShauri yako 😂
Mi simjui
😂😂 msifanye hivyo kuna ajaliMbwa kala mbwa😆😆chaeee
Mlipuko doti comu😂😂 msifanye hivyo kuna ajali
Nimtaje? 🤣🤣🤣Shauri yako 😂
Mi simjui
Watu wanamjua mpaka mtu ambae sina 😂Mlipuko doti comu
Yeweeeeeee🤣🤣🤣🤣 wacha wee!!
Ko yule manzi wako mzuri ila hutaki me nijue?
Me mbona sina tatizo na mkeo, emu lete pic tuone km kweli 🤣🤣🤣
We si unamjua umesema mlete mzunguuu 😅🤣🤣🤣🤣 wacha wee!!
Ko yule manzi wako mzuri ila hutaki me nijue?
Me mbona sina tatizo na mkeo, emu lete pic tuone km kweli 🤣🤣🤣
Hahahahaha,Kipenzi ,mtu gani huyo mbishiKipenzi huyo mtu hapo atakuwa ni mfupi maaan ni mbishi hatari..
Haaaaa nimesahau😀😀😀atakuwa ni mbishi tu tuachane na kimo😆😆😆
Hapa nimetoka kwanza nipumzike macho yote yamekua mekundu 🤣🤣🤣🤣Basi komaa na kuni zako unuke moshi mpaka masikioni
Alafu ukishamtaja?Nimtaje? 🤣🤣🤣