Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,584
Ntachangia yakwangu tu na mke wanguHahaha haha, binafsi nilishafunga kuchangia harusi
Ntachangia yakwangu tu na mke wanguHahaha haha, binafsi nilishafunga kuchangia harusi
Huyo hapendi maendeleo yangu, kuna mwamba hapo juu kanipenda anamtishia eti me kafupi afu tutaachana!!! 🤣🤣🤣Bado mchango ,hahahaha
Huo ndio ukweli lakini.😁Naona unawamba Ngoma.
Unaonaje kipenziHahaha haha, niendelee au nikae kimya?
Bado hujatheema 🤣🤣🤣Natakaje na unajua yakuwa naku...😅
Na nitasema 😂Bado hujatheema 🤣🤣🤣
Uumbaji haudhihakiwi Juma.. Kumbuka hujafa hujaumbika.. Urefu ama ufupi si machaguo yetu bali ni mahitaji ya uumbajiEti Wanawake wafupi ndiyo watu wenye uvumilivu kwenye mahusiano na wanajuwa kupenda kweli?
Hahahahaha, tusome maoni, Kipenzi,nimeipenda madaUnaonaje kipenzi
🤣🤣🤣 Basi Hashim Thabit😂 braza k hapana
Na utathema 🤣🤣🤣Na nitasema 😂
Oooh ,sawa ,Huyo hapendi maendeleo yangu, kuna mwamba hapo juu kanipenda anamtishia eti me kafupi afu tutaachana!!! 🤣🤣🤣
Hahahahahahaha,Kipenzi bhanaHuo ndio ukweli lakini.
Ukutane na kafupi,black,kitako kidogo,mguu wa bia,sauti nyororo,nachuro hair,flat tummy 😁😁kadigidigi flani hivi🤸♀️🤸♀️🤸♀️*****
Mbona kama umemtaja fulani wangu 😋Huo ndio ukweli lakini.
Ukutane na kafupi,black,kitako kidogo,mguu wa bia,sauti nyororo,nachuro hair,flat tummy 😁😁kadigidigi flani hivi🤸♀️🤸♀️🤸♀️*****
Watu wafupi:Huo ndio ukweli lakini.
Ukutane na kafupi,black,kitako kidogo,mguu wa bia,sauti nyororo,nachuro hair,flat tummy 😁😁kadigidigi flani hivi🤸♀️🤸♀️🤸♀️*****
Sasa kama n mfupi tusiseme? Tusimpe angalizo dada atupele 😂Huyo hapendi maendeleo yangu, kuna mwamba hapo juu kanipenda anamtishia eti me kafupi afu tutaachana!!! 🤣🤣🤣
Si ushajua ndio maana 😥Na utathema 🤣🤣🤣
Si nimeshaweka ko hujaiona 😂🤣🤣🤣 Basi Hashim Thabit
Haya weka photo hiyo chap
🤣🤣🤣🤣 Ntakuchapa emu acha niolewe kwanza. Unajua wafupi tuna balaa zito kwenye uwanja wa fundi seremala!! 🤸♀️🤸♀️🤸♀️Sasa kama n mfupi tusiseme? Tusimpe angalizo dada atupele 😂