Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,294
- 114,576
Yani umemuelezea yeye kabisa kasoro wivu tuMwafulani yuko hivyo ee😁😁
Yani umemuelezea yeye kabisa kasoro wivu tuMwafulani yuko hivyo ee😁😁
Yule sio wewe 🤣🤣🤣Ko unajifanya hujaiona 😂
Sasa wengine ndio tunapenda hv ,huwa raha sana,demu wako akiwa mfupi halafu anakukoromea ,😂😂😂😂Watu wafupi:
1.Watata.
2.Wabishi.
3.Jeuri.
4.Gubu na Visirani.
Wamba Tena Ngoma tuone😁.
tooooka hapa na ufupi wako 😂🤣🤣🤣🤣 Yani nimecheka khaa!!
Sasa mbona unatia huruma na emoji yako ya 😢
Sasa wengine ndio tunapenda hv ,huwa raha sana,demu wako akiwa mfupi halafu anakukoromea ,😂😂😂😂
Km ulivyokua unaishi mwanzo 🤣🤣🤣Alafu ukishaolewa niishije ishije 😂
Hahahahahaha,acha ijae , ni vzr pia ukifurahi, Mie huwa nasema ukweli daima
Kwamba yeye ndio muoaji tu au sio 😂Km ulivyokua unaishi mwanzo 🤣🤣🤣
Half huyo mwanaume asiponioa nitakukula nyama
Kwahiyo hunion au kwa sababu ni mfupi😁Sioni wakijitokeza kuthibitisha hili,, ina maana sisi wote humu warefu sio 😃🧐🧐
Mimi huyo hebu picha nijione huenda sijijui 😂Yule sio wewe 🤣🤣🤣
Wewe ni mfupi afu bonge
1. Ukipendwa na shotii ndio imetoka hiyoo
2. Tatizo wivu mkali sanaa.
3. Ukimjali huchomoki wanajua kutlia ile bien hatari.
Raha sana ,pale unapopewq Duty ya kuimalisha ULINZI wake ,MUDA wote utakapokua nae ,hahahahaha
😁😁kipenzi bhanaHahahahahaha,acha ijae , ni vzr pia ukifurahi, Mie huwa nasema ukweli daima
Uncle bodyguard 😁😁Raha sana ,pale unapopewq Duty ya kuimalisha ULINZI wake ,MUDA wote utakapokua nae ,hahahahaha
😅😂 urefu sio kitu ya mimi kukosa(in william ruto voice)🤣🤣🤣🤣 we ushindweee humu kuna viandunje kwangu wanasubiri, mmojawapo wewe
Hahahaha, Kipenzi kwani nasema uongo ?😁😁kipenzi bhana
Huoni Kama unamuonea spesho grup.Sasa wengine ndio tunapenda hv ,huwa raha sana,demu wako akiwa mfupi halafu anakukoromea ,😂😂😂😂