juma kabuha
Member
- Dec 28, 2022
- 6
- 40
Eti Wanawake wafupi ndiyo watu wenye uvumilivu kwenye mahusiano na wanajuwa kupenda kweli?
Rudisha ile Avatar yako yenye upajaKwahiyo mangongoti una kipi cha kutushauri?
Utakuwa unakutanaga na shotii nungayembe😁Ni wavumilivu kwa sababu hawapendwi. Ukijichanganya kwake anakung'ang'ania jumla akijua akikuachia hataweza mpata mwingine kirahisi
Huo ndio uhalisia mkuu..Eti Wanawake wafupi ndiyo watu wenye uvumilivu kwenye mahusiano na wanajuwa kupenda kweli?
Ni wavumilivu kwa sababu hawapendwi. Ukijichanganya kwake anakung'ang'ania jumla akijua akikuachia hataweza mpata mwingine kirahisi
😂 nani kakwambia nakupenda?We koma me mrefu afu napendwa mpk na vichaa km wewe 🤣🤣🤣
Me super tall bila heels, niko km twiga😂 nani kakwambia nakupenda?
Urefu utolee wapi labda wa viatu virefu
Nani kakudanganya?Eti Wanawake wafupi ndiyo watu wenye uvumilivu kwenye mahusiano na wanajuwa kupenda kweli?
Kama yeye hakupendi mi nakupendaMe super tall bila heels, niko km twiga
Ko hunipendi?
Sema kweli??
Sema kweli? 😂😂😂Kama yeye hakupendi mi nakupenda
Sasa kuwa kama twiga ni kitu ya kujisifia😅Me super tall bila heels, niko km twiga
Ko hunipendi? 🤣🤣🤣
Sema kweli??
Ni mfupi huyo shauri yakoKama yeye hakupendi mi nakupenda
🤣🤣🤣 wewe una hasira sababu mfupi!!Sasa kuwa kama twiga ni kitu ya kujisifia😅
Ko ndio nini?
Umejuaje me mufupi?😂🤣🤣🤣 wewe una hasira sababu mfupi!!
Ko ndo ko 🤣🤣
Wivu huo 🤣🤣🤣Ni mfupi huyo shauri yako
Maandishi yako tu yanaonyesha kimo chako 🤣🤣🤣🤣Umejuaje me mufupi?😂
Kolo kolo
Siri yangu na moyo wangu