Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,354
- 114,683
Itafahamika tu 😅Kimefanyaje tena
Itafahamika tu 😅Kimefanyaje tena
Ukakasi ndio kitu sijapenda kwa hii comment HAItafahamika tu 😅
Nmemaanisha cha mtu chake kumtetea my wangu mama.Ukakasi ndio kitu sijapenda kwa hii comment HA
😁😁Nmemaanisha cha mtu chake kumtetea my wangu mama.
Najua umewaza huenda nimemix mambo
usihofu 😉
Usemalo ni kweli kwa sababu mwanamke huwa jeuri sana anapokua na plan B, iwe kiuchumi, kimahusiano, au vyovyote. Hii ndi sababu ya std 7 na sura za baba kupata ndoa kuliko akina Bionce na wanavyuo vikuuNi wavumilivu kwa sababu hawapendwi. Ukijichanganya kwake anakung'ang'ania jumla akijua akikuachia hataweza mpata mwingine kirahisi