Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,602
We ni mfupi tena mfupi nyundo 😅😂🤣🤣🤣🤣 hapo sawa
Marufuku kuniita mfupi
We ni mfupi tena mfupi nyundo 😅😂🤣🤣🤣🤣 hapo sawa
Marufuku kuniita mfupi
Atakuja mwingine 🤣🤣🤣Na humpati ng'ooo 😅
Na sitheemi 🤣🤣🤣Bado hujasema
Lete pic tuthibitishe maneno yako 🤣🤣🤣We ni mfupi tena mfupi nyundo 😅😂
Labda sio mimi ntaenda hata kuanza kuroga 😂Atakuja mwingine 🤣🤣🤣
😂 nmekaa paleNa sitheemi 🤣🤣🤣
Usije ukakimbia lakin?Lete pic tuthibitishe maneno yako 🤣🤣🤣
Ngoja nimtafute mwanasheria wangu kwanza😂Umegundua nini mkuu?
Hahahahhq,Maji Salama ni UhaiMaji ni uhai jamani tuendelee kuyanywa😁😁
Na ndio maana NAMPENDA SANAKipenzi huyo mtu hapo atakuwa ni mfupi maaan ni mbishi hatari..
Haaaaa nimesahau😀😀😀atakuwa ni mbishi tu tuachane na kimo😆😆😆
🤣🤣🤣🤣 lete lete kijiwe kichangamkeUsije ukakimbia lakin?
File lako nnalo 😂
Kilishachangamka, pika kwanza🤣🤣🤣🤣 lete lete kijiwe kichangamke
Hauna 🤣🤣🤣🤣Kilishachangamka, pika kwanza
Jirani una makusudi, kwahiyo umeamua uzitie nazi ili kunitamanisha😅Hauna 🤣🤣🤣🤣
Kande zinakaribia kuiva nataka niweke tui la nazi 😜
Zinarudisha nguvu zilizopotea nzuri sana hiz kande nakwambia afu zinanukia balaa 😋😋😋Jirani una makusudi, kwahiyo umeamua uzitie nazi ili kunitamanisha😅
Sitamani ng'ooo
Sasa nan kapoteza nguvu? Na nguvu gani 😂Zinarudisha nguvu zilizopotea nzuri sana hiz kande nakwambia afu zinanukia balaa 😋😋😋
Itakua ni jirani yangu mmoja hivi 😜🏃♀🏃♀️🏃♀️🏃♀️Sasa nan kapoteza nguvu? Na nguvu gani 😂