Wanawake wafupi ndio wanajua kupenda kweli?

Wanawake wafupi ndio wanajua kupenda kweli?

Itakua ni jirani yangu mmoja hivi πŸ˜œπŸƒβ€β™€πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
πŸ˜‚ utajapigwa na jirani shauri yako na makande yako
 
Mi nikikukuta we mwanaume ni mfupi na demu wako ni mrefu kuliko wewe alafu mnatembea wote barabarani ni lazima nikupe hela ya pipi alaf nakwambia kafate pipi yako dukani uniache nina maongezi na huyo mwanamke.

Mwanaume unakuaje mfupi? Hata ukiwa mfupi hakikisha unatafuta mtoto mwenzako uliemzidi urefu.
 
Kwahiyo mangongoti una kipi cha kutushauri?
Screenshot_20231004_130603_Instagram Lite.jpg
 
Kwanini kwenye mashindano ya urembo kigezo cha kimo kinaangaliwa sana?

Kwanini wafupi hawapewi nafasi ya ushiriki?
 
Back
Top Bottom