Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Kwenye mapenzi napenda kuwa huru!sipendwi kubanwa,sipendi kutumiwa sms kama za promission kila dakika baby sijui nini mara baby mara umekula!wakati hata nikikwambia sina pesa ya msosi huwezi kununua wanawake wafupi ndio wanaongoza kutuma SMS nyingi kwa siku kuliko binadamu yeyote!
😂😂😂😂😂 ni ukweli kabisa.
 
Kila saa I love love, Mara kakubusu busu, mara kakusemeshe semeshe hata vitu havina maana, mkitembea njiani Mara katake kukushika mkono, kwenye gari Mara kawe kanakushika shika sijui kukubusu busu. Agrrrrrr vinakera hatari.
Usiombe sasa akawa mfupi halafu SHAROBARO sijui TOZI [emoji23][emoji23]ukiingia nae kwenye mahusiano unaweza hisi hellfire imeanza kukuunguza kabla hujafa.
Jamani
 
hawa watu ni kero sana..... ! kuna mmoja huyu akipiga simu, usipopokea, basi msg elfu 18 zinafuata.. Huwaga sisomagi hata moja.. nazipoteza
😅😅😅😅😅😅 ndio thithi baba thao na mama thao unalo.
 
Wanaume warefu ndiyo wenyewe sasa, uki mute na yeye ana mute. Akituma msg anasubiri ijibiwe kwanza ndiyo atume tena.
Halafu hawana ile kumganda ganda mwanamke hivyo kwa sababu wenyewe wana nyodo.
Halafu wapo romantic, wakivaa nguo wanapendeza, wanajua Ku hug..
Niendelee??? Nahisi nimekujibu na vya Ziada.
Koma tena mtuwache kabisa na mahaba yetu, kwendral huko na mahaba yenu ya kuokoteza..!
 
Nenda popote pale wanapouzwa malaya halafu uje na mahesabu warefu wako wangapi.
 
Aiseeey hata wanaume wafupi.
Wasumbufu hatari, wanajikutaga wana mapenzi ya njiwa sijui.
Cha ajabu wenyew kwa wenyew hawapendani...... Unakuta mkaka mfupi anang'ang'ania mdada mrefu afu na yeye anawaponda wadada wafupi!! Nashindwaga kuwaelewa kwakweli
 
Back
Top Bottom