Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Wanaume warefu ndiyo wenyewe sasa, uki mute na yeye ana mute. Akituma msg anasubiri ijibiwe kwanza ndiyo atume tena.
Halafu hawana ile kumganda ganda mwanamke hivyo kwa sababu wenyewe wana nyodo.
Halafu wapo romantic, wakivaa nguo wanapendeza, wanajua Ku hug..
Niendelee??? Nahisi nimekujibu na vya Ziada.
Collect
 
I am humbled by your generosity
 
hawa watu ni kero sana..... ! kuna mmoja huyu akipiga simu, usipopokea, basi msg elfu 18 zinafuata.. Huwaga sisomagi hata moja.. nazipoteza
 
Kila saa I love love, Mara kakubusu busu, mara kakusemeshe semeshe hata vitu havina maana, mkitembea njiani Mara katake kukushika mkono, kwenye gari Mara kawe kanakushika shika sijui kukubusu busu. Agrrrrrr vinakera hatari.
Usiombe sasa akawa mfupi halafu SHAROBARO sijui TOZI [emoji23][emoji23]ukiingia nae kwenye mahusiano unaweza hisi hellfire imeanza kukuunguza kabla hujafa.
Kwahii midongo duh, wacha twenge ghangzou kusaka dawa ya utolu bare
 
Wanaume warefu ndiyo wenyewe sasa, uki mute na yeye ana mute. Akituma msg anasubiri ijibiwe kwanza ndiyo atume tena.
Halafu hawana ile kumganda ganda mwanamke hivyo kwa sababu wenyewe wana nyodo.
Halafu wapo romantic, wakivaa nguo wanapendeza, wanajua Ku hug..
Niendelee??? Nahisi nimekujibu na vya Ziada.
Nimeona comment yako nikakumbuka ule msafara na vyombo vyetu kumsindikiza marehemu. Ila tuyaache kwa maana siyo mahala pake. [emoji5][emoji5][emoji5]
 
[emoji57][emoji57][emoji57]utakoma na ufupi wako.
Ila wanaume wafupi mna kumbukumbu hamsahau tuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom