Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Kwa sensa nilioifanya nimegundua wanawake wafupi ni asilimia 68.5 ya wanawake wote Tanzania.

Wanaume tujipange, maana kwa visa hawa wafupi wamejaaliwa.
 
Kila saa I love love, Mara kakubusu busu, mara kakusemeshe semeshe hata vitu havina maana, mkitembea njiani Mara katake kukushika mkono, kwenye gari Mara kawe kanakushika shika sijui kukubusu busu. Agrrrrrr vinakera hatari.
Usiombe sasa akawa mfupi halafu SHAROBARO sijui TOZI [emoji23][emoji23]ukiingia nae kwenye mahusiano unaweza hisi hellfire imeanza kukuunguza kabla hujafa.
Umetumia Maneno Makali Ila Nimecheka Sana 😛
 
Kuna kimoja kifupi kila saa kinataka kuchat,,,,kila saa ananiuliza nafanya nini....aaaaaaah nakaribia kukiacha
 
Back
Top Bottom