Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Ukikaa kimya wanaanza ooh mwanamke hata hajui kujali wala kupetipeti,ukimtext wanaona kero dooh kweli wanaume ni zigo la misumari
Zaidi ya zigo mama angu hawajui nini wanataka
 
Aaah siju nisemeje! ook kama walivyosema hapo wenzangu
 
Duuh mkuu huwa huwaoni unapo watafuta? Au huwa unahisi bado atarefuka
 
Wanaume warefu ndiyo wenyewe sasa, uki mute na yeye ana mute. Akituma msg anasubiri ijibiwe kwanza ndiyo atume tena.
Halafu hawana ile kumganda ganda mwanamke hivyo kwa sababu wenyewe wana nyodo.
Halafu wapo romantic, wakivaa nguo wanapendeza, wanajua Ku hug..
Niendelee??? Nahisi nimekujibu na vya Ziada.
Ndomana wanawake mnatu-disapoint sana wanaume wafupi shubaaamit zenu.
 
Umenifurahisha sana mdada. Basi tu uko mbali nami.

Maelezo murua bila chenga chenga. Bila shaka umeelezea jambo unalolifahamu kabisaaaa.

Warefu wote lazima tuipitie hii comment bora kwetu leo.
Hiyo comment imeni-disapoint sana.[emoji1786][emoji1786]
 
Kila saa I love love, Mara kakubusu busu, mara kakusemeshe semeshe hata vitu havina maana, mkitembea njiani Mara katake kukushika mkono, kwenye gari Mara kawe kanakushika shika sijui kukubusu busu. Agrrrrrr vinakera hatari.
Usiombe sasa akawa mfupi halafu SHAROBARO sijui TOZI [emoji23][emoji23]ukiingia nae kwenye mahusiano unaweza hisi hellfire imeanza kukuunguza kabla hujafa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanaume warefu ndiyo wenyewe sasa, uki mute na yeye ana mute. Akituma msg anasubiri ijibiwe kwanza ndiyo atume tena.
Halafu hawana ile kumganda ganda mwanamke hivyo kwa sababu wenyewe wana nyodo.
Halafu wapo romantic, wakivaa nguo wanapendeza, wanajua Ku hug..
Niendelee??? Nahisi nimekujibu na vya Ziada.
Ukweli kabisa!
 
Naona hp pana elimu mm ni mfupiiiiii kuna wanawake nlikuwa nao hapo kabla nlikuwa naishi nao hvyo unavyosema wakipiga kmya nami kimya haina kugandana gandana wala wivu ila ss huyu nlienae saa hz ndio nimejikuta tu nna mapenzi ya njiwa naomba elimu yako mtaalam hp tatzo ni kimo au hutegemea na level ya mapenzi uliyonayo kwa mwenza ulienae?
 
Wanaume na wanawake warefu uzi huu hautuhusu tukae kimya isije tukaitwa wachochezi
 
Naona hp pana elimu mm ni mfupiiiiii kuna wanawake nlikuwa nao hapo kabla nlikuwa naishi nao hvyo unavyosema wakipiga kmya nami kimya haina kugandana gandana wala wivu ila ss huyu nlienae saa hz ndio nimejikuta tu nna mapenzi ya njiwa naomba elimu yako mtaalam hp tatzo ni kimo au hutegemea na level ya mapenzi uliyonayo kwa mwenza ulienae?
Level kubwa uliyo na mapenzi kwake ndiyo tatizo.
Lakini kumpenda Mtu na kumwonyesha kiasi hicho tatizo ni ufupi.
Mnajua kupenda sana na kufosi mnayempenda aone ni kiasi gani unampenda. Ndipo tatizo la watu wafupi lilipo.
 
Haaaaaahaaaaa so A na B yote majibu ila ss mbona wale wa mwanzo sikuwahi watreat hv na nlikuwa hvhv na futi 2 zangu?
 
Haukuwapenda ndiyo maana.
Watu wafupi nyie mnaeleweka mkipenda bhanaa ..dunia lazima itambue.
 
Ila kuna vitu huwa mnatusingizia jamani mara wakorofi,wivu kupita kiasi,gubu wengne sisi watulivu sana nna wivu ila co kupita kiasi cna gubu hadi mwanamke ajute kuwa nami tunaskilizana ukorofi cna cjawahi hata kumsukuma wifi yko achilia mbali kumtia kibao ss cjui hz research zenu mwafanyia wapi!
 
Back
Top Bottom