Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Haahaaa....mapenzi ya njiwa ndo yakoje
Kila saa I love love, Mara kakubusu busu, mara kakusemeshe semeshe hata vitu havina maana, mkitembea njiani Mara katake kukushika mkono, kwenye gari Mara kawe kanakushika shika sijui kukubusu busu. Agrrrrrr vinakera hatari.
Usiombe sasa akawa mfupi halafu SHAROBARO sijui TOZI [emoji23][emoji23]ukiingia nae kwenye mahusiano unaweza hisi hellfire imeanza kukuunguza kabla hujafa.
 
Nawanaume warefu wakoje?
Wanaume warefu ndiyo wenyewe sasa, uki mute na yeye ana mute. Akituma msg anasubiri ijibiwe kwanza ndiyo atume tena.
Halafu hawana ile kumganda ganda mwanamke hivyo kwa sababu wenyewe wana nyodo.
Halafu wapo romantic, wakivaa nguo wanapendeza, wanajua Ku hug..
Niendelee??? Nahisi nimekujibu na vya Ziada.
 
Umenifurahisha sana mdada. Basi tu uko mbali nami.

Maelezo murua bila chenga chenga. Bila shaka umeelezea jambo unalolifahamu kabisaaaa.

Warefu wote lazima tuipitie hii comment bora kwetu leo.
 
Kwenye mapenzi napenda kuwa huru!sipendwi kubanwa,sipendi kutumiwa sms kama za promission!kila dakika baby sijui nini Mara baby Mara umekula!wakati hata nikikwambia sina pesa ya msosi huwezi kununua!
Wanawake wafupi ndio wanaongoza kutuma SMS nyingi kwa siku kuliko binadamu yeyote!
asante kwa kuwa umeligundua hilo kaka hata nigekuwa mm ningeachana nae kabisa
 
Back
Top Bottom