Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Wanawake wafupi na wivu wa kijinga!

Wanaume warefu ndiyo wenyewe sasa, uki mute na yeye ana mute. Akituma msg anasubiri ijibiwe kwanza ndiyo atume tena.
Halafu hawana ile kumganda ganda mwanamke hivyo kwa sababu wenyewe wana nyodo.
Halafu wapo romantic, wakivaa nguo wanapendeza, wanajua Ku hug..
Niendelee??? Nahisi nimekujibu na vya Ziada.
Hatarii nilikuwa sijui
 
Kila saa I love love, Mara kakubusu busu, mara kakusemeshe semeshe hata vitu havina maana, mkitembea njiani Mara katake kukushika mkono, kwenye gari Mara kawe kanakushika shika sijui kukubusu busu. Agrrrrrr vinakera hatari.
Usiombe sasa akawa mfupi halafu SHAROBARO sijui TOZI [emoji23][emoji23]ukiingia nae kwenye mahusiano unaweza hisi hellfire imeanza kukuunguza kabla hujafa.
Wengine wanachukia, wengine wanapenda...!
Kila mtu anapaswa kujua the likes and dislikes za mwenza au mtarajiwa wake.
 
[emoji57][emoji57][emoji57]utakoma na ufupi wako.
Ila wanaume wafupi mna kumbukumbu hamsahau tuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Shukuru mungu hujanijua na hatufahamiani. By the way how much is 6 Feet in centimeter.? Am 5.9 feet tall.
 
Wanaume warefu ndiyo wenyewe sasa, uki mute na yeye ana mute. Akituma msg anasubiri ijibiwe kwanza ndiyo atume tena.
Halafu hawana ile kumganda ganda mwanamke hivyo kwa sababu wenyewe wana nyodo.
Halafu wapo romantic, wakivaa nguo wanapendeza, wanajua Ku hug..
Niendelee??? Nahisi nimekujibu na vya Ziada.
Generalization...eeeeenh?
 
Yajulikana wanawake kwa sms ni MAJIWE, wanaume hatuwawezi hata kama tukifundishwa na MIT (USA)!
Yaani kama mna malumbano ni heri uzime simu tu, ni ahera kwa kweli..
 
Swali la upo wap na unafanya nn, umekula? kiukweli mi linanikera liulizwe na mfupi au mrefu, mnene au mwembaba, mweusi au mweupe nakereka hatar.
 
Kheee
Msipotextiwa kila mda mnasema hampendwi mpoje nyie wana wa adam

Na mm sijui ni mwanamke mfupi ebu ngoja niulize
Ukikaa kimya wanaanza ooh mwanamke hata hajui kujali wala kupetipeti,ukimtext wanaona kero dooh kweli wanaume ni zigo la misumari
 
Back
Top Bottom