kasome sheria ya ndoa. anajua kuwa ww ukifa watu wanarithi hizo mali fasta yeye anaanza moja. ila yeye akifa hakuna atakaye waza kuhusu mirathi. sasa bora ajiwekee akiba maana haijui siku wala saa wala atakayetangulia.
Habari wa JF,
Miezi sita iliyopita nilibahatika kuoa mwanamke mmoja wa kiislam ambapo tulifunga ndoa ya kiislam.
Katika mahusiano ya uchumba nilimuona ni muwazi na ana akili za kimaendeleo ndipo nikatangaza ndoa.
Lakini tangu nifunge naye ndoa sijawahi kuona hata shilingi tano yake.Pia hajawahi kutoa katika benki hata shilingi yeye ana deposit tu.
Nikijaribu kumuuliza yeye atatumia fedha zake kwa matumizi gani?Anasema jukumu la kumlisha ni langu.Sawa sikatai je fedha yeye ataweka wapi ?au atajenga lotion bila mimi kujua!!!
Naombeni mchango wenu,nini nifanye au nimuache?
Sasa mtu mwenye mawazo kama haya unaoa wa nini....!!!!?????
Maisha ni leo na wanaokuzunguka mambo ya nani atakufa sijui nini si mna watoto na will zipo.....!!!!!?????
Mtu anayewaza akifa mali zitakuwaje ana asili ya uchoyo tu hamna zaidi
Wewe ni miongoni mwa hao.AhsanteUkweli ni kwamba, wanaume hamuaminiki ndo maana wake zenu wanafanya maendeleo ya kivyao vyao tena kimya kimya.
He he he, kumbe watu wanaishi ndoani wakiwazia kifo?
Ukweli ni kwamba, wanaume hamuaminiki ndo maana wake zenu wanafanya maendeleo ya kivyao vyao tena kimya kimya.
Habari wa JF,
Miezi sita iliyopita nilibahatika kuoa mwanamke mmoja wa kiislam ambapo tulifunga ndoa ya kiislam.
Katika mahusiano ya uchumba nilimuona ni muwazi na ana akili za kimaendeleo ndipo nikatangaza ndoa.
Lakini tangu nifunge naye ndoa sijawahi kuona hata shilingi tano yake.Pia hajawahi kutoa katika benki hata shilingi yeye ana deposit tu.
Nikijaribu kumuuliza yeye atatumia fedha zake kwa matumizi gani?Anasema jukumu la kumlisha ni langu.Sawa sikatai je fedha yeye ataweka wapi ?au atajenga lotion bila mimi kujua!!!
Naombeni mchango wenu,nini nifanye au nimuache?
Ni kweli jukumu la kulisha mke ni lako tatizo we ulimuoa kwa kuangalia kazi na mshahara wake.
Anavyofanya ni sawa wanaume mna matatizo ,wanawake wengi wamefanya maendeleo na wanaume wameishiwa kuumizwa ndio maana wanawake wamekuwa makini siku hizi.
Halafu wanaume sikuhizi nani kawaloga mtu anaoa kazi ya mwanamke na mwanamke mwenyewe.
Aendelee hivyo hivyo ningekuwa namfahamu ningemshauri kama akitoa atoe hela yake kama akitaka kununua nyama,sahani au nguo bali cement/mabati no kama huwezi shauri yako.
Acha kujifanya unanijua... mimi nipo mimi kama mimi... nyinyi kwangu ni useless...Wewe ni miongoni mwa hao.Ahsante