ni upuuzi unaofanywa na hao vijana mambumbumbu
kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononiupuuzi wewe unaona kutembea uchi ni sifa.
kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven
Hahahahaha mbona mi sijavuliwa wamenigwayaaa nini,nilikua maeneo hayo
pita rwegarosore mapaja nje uone! dk 2 nyingi lazima utomaswe vinginevyo huna mvuto!
Fatilia kwa makini ulete majibu hapa, hao Vijana wanatoka chama gani cha siasa? Fanya haraka kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Ina maana Mu 7 amri zake zinatekelezwa hadi Mwanza?!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums