andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,024
Katika nchi chache nilizotembelea kama south africa, kenya, mozambique, zambia, rwanda etc.....wanawake wa tz kuvaa zero iwe nyumbani,ofisini au outing. Kwanza wanachanganya nguo za ofisi na za out yaani hapo unakuja mchanganyiko wa ajabu. VIATU hapo ndio hakuna kitu kabisa. Wengi wao ni sandolz na open shoes iwe ofisini au outing . mpaka miguu inapauka harafu wanaenda kuisugua mwenge.ukimkuta kavaa closed shoes ujue kazini kwao wamelazimishwa. Pia vigumu sana kumkuta mdada wa kibongo kavaa RABA na kaptura weekend au outing
Bandiko hili halimuhusu mke wangu.
Umeona eeeh!!!!!!!!!!!! :fencing:
Ni kweli kabisa MC. Tilly Chizenga. Mke wako anajua kuvaa sana tu, tena sio kuvaa tu! Kuvaa kuendena na matukio, kuna harusi ya Innocent Shio mlisimamia, japo mkeo alikuwa mja mzito, lakini alionekana kama mja mwepesi kutokana na alivyokuwa amependeza. Ofisini kwao wanakuaga na kale kasare kao yeye na Regina, kwa hiyo akivaa hako anatoka kiofisi, ofisi, pia viatu anajua kupangilia kutokana na matukio, nilikuwa napenda anavyo vaa vi-maternity vyake, sijui kama ameshajifungua mpe hongera zake, kuna siku niliwaona Rushida super market akiwa amevaa TShirt na Jeans alikuwa ametoka mbaya. Mwayego hata mimi hili tangazo halinihusu, huwa najiita Idd kuvaa kulingana na matukio, mleta mada ungesema baadhi ya wanawake. Vipi kuhusu mkeo/girlfriend wako yeye hili tangazo linamhusu au halimhusu. Tiririka!!!!!!
Katika nchi chache nilizotembelea kama south africa, kenya, mozambique, zambia, rwanda etc.....wanawake wa tz kuvaa zero iwe nyumbani,ofisini au outing. Kwanza wanachanganya nguo za ofisi na za out yaani hapo unakuja mchanganyiko wa ajabu. VIATU hapo ndio hakuna kitu kabisa. Wengi wao ni sandolz na open shoes iwe ofisini au outing . mpaka miguu inapauka harafu wanaenda kuisugua mwenge.ukimkuta kavaa closed shoes ujue kazini kwao wamelazimishwa. Pia vigumu sana kumkuta mdada wa kibongo kavaa RABA na kaptura weekend au outing
Mila za watu hizo zimekuja nchini humu na majahazi! Mtanzania yake Khanga na Kitenge!
Kuvaa unajua sanaa sema uchumi unabana sana! CL, Jimmy Choo, Louis Vuitton, McQueen na wengineo tumemuachia Sepetu wa Sepetunga mamaa Audi Q7!!!!!!!!
Katika nchi chache nilizotembelea kama south africa, kenya, mozambique, zambia, rwanda etc.....wanawake wa tz kuvaa zero iwe nyumbani,ofisini au outing. Kwanza wanachanganya nguo za ofisi na za out yaani hapo unakuja mchanganyiko wa ajabu. VIATU hapo ndio hakuna kitu kabisa. Wengi wao ni sandolz na open shoes iwe ofisini au outing . mpaka miguu inapauka harafu wanaenda kuisugua mwenge.ukimkuta kavaa closed shoes ujue kazini kwao wamelazimishwa. Pia vigumu sana kumkuta mdada wa kibongo kavaa RABA na kaptura weekend au outing
Tena kuishi kwa Fashion na style za jumla jumla ni utumwa. ishi na kuvaa kadri upendavyo. muhimu niliyevaa nipo comfortable, malezi na makuzi tofauti kwangu hata nguo kata mikono sivai leo unambie fashion kuvaa kaptula?sishawishiki. fashion, style za kuburuzwa na kundi fulani la watu hazinisumbui.na sijawahi kosa kusifiwa nimependeza kila ninapokuwa hata nikifunga kitenge mume wangu ananisifia nimependeza.Sio kwamba watu hawajui kuvaa, bali watu hawajui kuchagua nini cha kuvaa wakati wa kununua mavazi.
Wengi hawaelewi ni nini Fashion and Style..
Tena kuishi kwa Fashion na style za jumla jumla ni utumwa. ishi na kuvaa kadri upendavyo. muhimu niliyevaa nipo comfortable, malezi na makuzi tofauti kwangu hata nguo kata mikono sivai leo unambie fashion kuvaa kaptula?sishawishiki. fashion, style za kuburuzwa na kundi fulani la watu hazinisumbui.na sijawahi kosa kusifiwa nimependeza kila ninapokuwa hata nikifunga kitenge mume wangu ananisifia nimependeza.