wanawake wa Tanzania hawajui kuvaa

wanawake wa Tanzania hawajui kuvaa

we baba inahuuu!!!!!!!! hebu ututue wanawake kwa raha zetu.
km mkeo hajui kuvaa its up to yeye lkn si kutujumlisha wanawake wote.Hebu kwanza tutake radhi unless otherwise ungesema "baadhi ya wanawake"
 
Inamaana ww unataka wavae hata RABA shoes ofisini na outing ili mradi ni closed shoes? Hmm! Ama kweli ww ndie unaejua kuvaa!
 
Umesahau na weather...

Umenikumbusha Dar enzi hizo jua kali na joto kiama, unakuta mtu kapiga manguo fulani walikuwa wanayaita OPP kapiga full kajifunika mpaka kichwani. ukimuuliza hivi husikii joto? anakuwa mkali kama mbogo.
 
Unamaanisha SWAGG hizi??

Men-s-clothing-fashion-winter-ny-font-b-yankee-b-font-pullover-jacket-male-sweatshirt-font.jpg


Umenikumbusha Dar enzi hizo jua kali na joto kiama, unakuta mtu kapiga manguo fulani walikuwa wanayaita OPP kapiga full kajifunika mpaka kichwani. ukimuuliza hivi husikii joto? anakuwa mkali kama mbogo.
 
uwe una ufinyu wa fikra si bure chukua uraia wa huko wanakojua kuvaa,waelimishe wanawake ktk familia yako kwanza ndo uje hapa,ukute dadako mwenyewe akitoka ni mara elfu yangu mimi.
 
Katika nchi chache nilizotembelea kama south africa, kenya, mozambique, zambia, rwanda etc.....wanawake wa tz kuvaa zero iwe nyumbani,ofisini au outing. Kwanza wanachanganya nguo za ofisi na za out yaani hapo unakuja mchanganyiko wa ajabu. VIATU hapo ndio hakuna kitu kabisa. Wengi wao ni sandolz na open shoes iwe ofisini au outing . mpaka miguu inapauka harafu wanaenda kuisugua mwenge.ukimkuta kavaa closed shoes ujue kazini kwao wamelazimishwa. Pia vigumu sana kumkuta mdada wa kibongo kavaa RABA na kaptura weekend au outing


Licha ya kuvaa, hata kutembea hawajui! Unakuta mwanamke au msichana mzuri anatembea kama anakwenda kuanguka vile! Au anatupa ,miguu huku na kule! Alaaa! Jamani!
 
yo hv to b who yo a. kama watz hawajui kuvaa well, l guess it is great. Hatuna haja ya kuiga. Ingekua ni muhimu basi lingeweka somo maalumu la kufanya ivo hadi chuo kikuu.
 
Tatizo la wengi hawavai for fashion , wanavaa kwa majina na bei ya kitu aonekane ni wa thamani, wakat kuna mwingine katupia za memorial anatoka mzuka kuliko hata huyo aliyetupia victori secret
 
naunga mkono hoja,na vitambi navyo kama sehemu ya vazi vinawaharibu sana hawa wake zetu,nilioa akiwa bomba,kila nguo inampendeza,lkn sasa na hiki kitambi cha kuku na bia,hamna kitu tena,anyway ndo nimeshaoa hivyo,sina namna.
 
naunga mkono hoja,na vitambi navyo kama sehemu ya vazi vinawaharibu sana hawa wake zetu,nilioa akiwa bomba,kila nguo inampendeza,lkn sasa na hiki kitambi cha kuku na bia,hamna kitu tena,anyway ndo nimeshaoa hivyo,sina namna.

Mkadaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhh!!!!!! Mwambie afanye mazoezi bhana, hasikuchoshe bure!!!!!!!!!!!
 
Mkadaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhh!!!!!! Mwambie afanye mazoezi bhana, hasikuchoshe bure!!!!!!!!!!!
we acha tu Daisy,huwa anasema nisimchoshe,kama nimemchoka nimrudishe,i love her anyway and she knows siwezi mrudisha.
 
wachina husema kuwa akiri ya binadamu hufanana na jinsi anavyo vaa. ndio maana unaweza kirahisi kumtambua mvuta bange, mgonjwa wa kichwa na mtu mwenye furaha. sasa mnaposema wanwake wa TZ hawajui kuvaa, mimi sielewi mna maanisha nini. Hebu nenda Disco,royola secondari, kifungiro,na azania front halafu angalia jinsi wanwake wa kitanzania wanavyopendeza kimavazi!
 
Umegusa penyewe!tatizo hili ni kubwa.Suala la kuvaa halihitaji hela kubwa ni mpangilio tu wa nguo za kawaida na za bei nafuu.Tatizo akina dada wa hapa mjini bhana,hawayasomi maumbile yao,hawazingatii hali ya hewa na kama wanaizingatia hawana maandalizi juu ya miili yao.Unakuta dada kavaa nguo ya wazi joto kali lakini kwapa linafoka.Hata kama umevaa vizuri,hiyo inakudiscredit tayari!!
 
Kwangu mimi suala la uvaaji ni personal zaidi,hivyo navaa vile ninavyojisikia at any time T,vile vile kwasababu nikivaa vyovyote vile nitakavyo amua na kujisikia siiathiri 3rd party directly unless indirectly,then i don care what they will say cuz in most cases dressing code is a matter of perception n personal choice,otherwise it is garbage.
 
Back
Top Bottom