wanawake wa Tanzania hawajui kuvaa

wanawake wa Tanzania hawajui kuvaa

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,036
Reaction score
330
Katika nchi chache nilizotembelea kama south africa, kenya, mozambique, zambia, rwanda etc.....wanawake wa tz kuvaa zero iwe nyumbani,ofisini au outing. Kwanza wanachanganya nguo za ofisi na za out yaani hapo unakuja mchanganyiko wa ajabu. VIATU hapo ndio hakuna kitu kabisa. Wengi wao ni sandolz na open shoes iwe ofisini au outing . mpaka miguu inapauka harafu wanaenda kuisugua mwenge.ukimkuta kavaa closed shoes ujue kazini kwao wamelazimishwa. Pia vigumu sana kumkuta mdada wa kibongo kavaa RABA na kaptura weekend au outing
 
Mila za watu hizo zimekuja nchini humu na majahazi! Mtanzania yake Khanga na Kitenge!

Kuvaa unajua sanaa sema uchumi unabana sana! CL, Jimmy Choo, Louis Vuitton, McQueen na wengineo tumemuachia Sepetu wa Sepetunga mamaa Audi Q7!!!!!!!!
 
Ni kweli, ila kuvaa wanajua ila mpangilio ndo ishu,unaweza kukuta mtu kavaa nguo za club anakata nazo mitaa kariakoo, mwenge posta, au kwa arusha huku kilombero mbauda ungalelo mchana kweupee, wengine hadi weekend wamenyuka suti, ukienda sehemu za starehe ndo utacheka, wengine yupo outing na mpenz wake, mwanaume kakung'uta kaunda au suti hiyo, mwanamke yupo na satini yake au suti na yeye, mh si kwamba ni kuiga utamaduni wa watu hapana, mpaka sasa hatuna vazi rasmi la taifa, ila kuna vitu tumezaliwa tumevikuta, mbona hata tulivyokua wadogo tuliambiwa nguo hii ya shule, hii ya kanisani, hii ya sokoni, hii ya shambani, hii ya mjini n.k so hapa utaona kumbe mpangilio wa mavazi haujaanza leo, kilichobadilika ni aina ya mavazi tu sasa shida ni kujua wap nivae vip na wap nivae vip.ila hili nalo halihitaj gharama kubwa, wanohitaj gharama ni wale sisterdooz wanaopenda kumatch everything, hapo ndo atahitaj hela ya kubadilisha matchin kila week, ila yote kwa yote elimu zaid inatakiwa kutolewa either kwenye vituo vya TV, radio au blogs, or magazeti ili kuwaelimisha watu jinsi ya kuvaa, wapi uvaaje na vipi according to different occassions.Ahsanten
 
kweli bwana kazi kuvaa ile minguo ya misyari ya zebra bwana....na wananimera ile style ya kuvaa kitenge alafu kingine waweka begani...sijui ndio tanzania's response to a white man's scarf lol
 
Sasa kama hawajui kuvaa, tunaomba mkeo awe mfano basi kwa wanawake wa TZ.Halafu usiseme kuwa wanawake wa TZ , Angalau ungetumia neno baadhi, kwani nchi hizo ulizozitaka baadhi ya wanawake/wasichana wao wameolewa humu nchini?mbona sioni uvaaji wao kama uko tofauti na Watz?Penda chenu.Sidhani kama kila siku jioni utamwona dada yako anatinga kaptura na raba ati anatoka out sidhani kama utamfurahia,hata jamii inayomzunguka sijui watamchukuliaje, zaidi ya kubaki kumpachika kila aina ya majina.Pia angalia na uchumi wa nchi ilivyo, na bei ya hayo mavazi unayotaka yavaliwe katika mpangilio uupendayo...... sijui
 
Mila za watu hizo zimekuja nchini humu na majahazi! Mtanzania yake Khanga na Kitenge!

Kuvaa unajua sanaa sema uchumi unabana sana! CL, Jimmy Choo, Louis Vuitton, McQueen na wengineo tumemuachia Sepetu wa Sepetunga mamaa Audi Q7!!!!!!!!

Hivi bwana ake wa sasa hivi ni mtoto wa nani,
 
kweli bwana kazi kuvaa ile minguo ya misyari ya zebra bwana....na wananimera ile style ya kuvaa kitenge alafu kingine waweka begani...sijui ndio tanzania's response to a white man's scarf lol

nguo sizipendi hizoo. zinanichefua nikiona mwanamke amevaa hizo.
 
Hata ukimuliza alieko marekani atakwambia hao wasouth ulowasifia hawajui kuvaaa..

Ili mtu uweze kupangilia mavazi ipasavyo cash yako isiwe ya msimu otherwise unaweza lala njaa
 
Title tu,nikahisi labda wanageuza nguo nje ndani!!

Kuvaa kimpangilio si kwamba hawajui..asa ao wa Kenya ndo wanavaa nini???lmao

hmmm kibongobongo uvae uwe comfotable hata kama mtumba wa manzese,.shurti ukukae vizuri uwe msafi..utokelezee...thats it..hayo mengine tuwaache bongo movies wajikanyage kanyage!!!!

Otherwise...hao ulowataja hmmm bora wapopo
 
kweli bwana kazi kuvaa ile minguo ya misyari ya zebra bwana....na wananimera ile style ya kuvaa kitenge alafu kingine waweka begani...sijui ndio tanzania's response to a white man's scarf lol

Mwishowe mtatuambia na chuichui! Ni hivi,kila m2 na apendavyo ndo maana kuna styl nyingi tofauti
 
nijuavyo,unapovaa unaangalia vitu viwili 2,navyo ni PLACE n TIME,ukijua uvae nn na wapi,wala hutakosea!
.. Mtoa Mada,na sio kwamba watz wote hawajui kuvaa,sema baadhi
 
Last edited by a moderator:
Katika nchi chache nilizotembelea kama south africa, kenya, mozambique, zambia, rwanda etc.....wanawake wa tz kuvaa zero iwe nyumbani,ofisini au outing. Kwanza wanachanganya nguo za ofisi na za out yaani hapo unakuja mchanganyiko wa ajabu. VIATU hapo ndio hakuna kitu kabisa. Wengi wao ni sandolz na open shoes iwe ofisini au outing . mpaka miguu inapauka harafu wanaenda kuisugua mwenge.ukimkuta kavaa closed shoes ujue kazini kwao wamelazimishwa. Pia vigumu sana kumkuta mdada wa kibongo kavaa RABA na kaptura weekend au outing

Wewee wa wapi?Wewe unajua kuvaa wewe?tuma pics zako tukushangaa kwanza na uvaaji wako.
 
Wengi wetu tanzania tuna copy and paste! Ci mens or girls
 
kweli bwana kazi kuvaa ile minguo ya misyari ya zebra bwana....na wananimera ile style ya kuvaa kitenge alafu kingine waweka begani...sijui ndio tanzania's response to a white man's scarf lol

mzabzab yaani i hate hizo nguo za mistari japo mi mwanamke..sasa ukute mtu ana kitambi loooh unaweza uzimie..

all in all we need to change.. unaweza usiwe nazo nyingi ila ukapangilia tu na ukatoka chicha.
 
Last edited by a moderator:
Hata ukimuliza alieko marekani atakwambia hao wasouth ulowasifia hawajui kuvaaa..

Ili mtu uweze kupangilia mavazi ipasavyo cash yako isiwe ya msimu otherwise unaweza lala njaa

Toria haihitaji uwe milionea ndo ujue kupangilia hizo ulizonazo.
 
Last edited by a moderator:
haya bwana mi mshiko sina , NINI MBONA UMEKUJA NA HASIRA SANA,ACHENNI WATU WAVAE WANAVOTAKA KAMA INAKUPA SHIDA WAPE HELA UNAFIKIRI MITUMBA INUNULIWE NA NANI?
 
sasa badala ya kukomoa kwa nini usitoe darasa jinsi ya ku keep up na fashion?
 
Sio kwamba watu hawajui kuvaa, bali watu hawajui kuchagua nini cha kuvaa wakati wa kununua mavazi.
Wengi hawaelewi ni nini Fashion and Style..
 
Back
Top Bottom