Wanawake wa sasa mtatuua. Siyo hivi Jamani

Na watoto wa chuo ndionwatamu kweli alafu wao sii ndio wanaendekeza tamaa za shopping mara iphone sijui outings. Hao ndio target market yangu...ni mwendo wa kuwatoa out na kuwakaribisha ghetto unajipigia threesome tuu.
images-4.jpeg
 
😂😂😂 Achana na huyo dem broo, si mtu mwema kwako, only three days ashapata mwingine 🤔🤔🤔 watu kam hawa akiomba msamaha hakuna kusamehe kabisa, ni kashetani flan ambako kamejishkiza tu kwako anytime kanakusaliti
 
Ha ha ha... Anataka kuniua kwa ngoma...siyo kwa stress... Mi huwa sigombei nyapu. Ila tu amenishangaza. Ndo maana kwa amani nmemwambia aendelee ku move on...coz nami namove on 😁😁😁 najua hatomaliza mwezi huko. Atakuta aliponiacha sipo.nme move on.

Mkuu piga michongo yako tu utapata mwingine, yaani umenusurika kufa kwenye ajali afu mwanamke ndo anataka kukuua, dah🤔🤔🤔
 
Ha ha ha... Anataka kuniua kwa ngoma...siyo kwa stress... Mi huwa sigombei nyapu. Ila tu amenishangaza. Ndo maana kwa amani nmemwambia aendelee ku move on...coz nami namove on 😁😁😁 najua hatomaliza mwezi huko. Atakuta aliponiacha sipo.nme move on.
👍
 
Na watoto wa chuo ndionwatamu kweli alafu wao sii ndio wanaendekeza tamaa za shopping mara iphone sijui outings. Hao ndio target market yangu...ni mwendo wa kuwatoa out na kuwakaribisha ghetto unajipigia threesome tuu.
Cjabak nyuma mkuu,ila wangu yupo tofaut kidogo maana huwa cmtoi makaizari kiivo ila yupo radhi kulipia naul aje nimgegede
 
Nlipata ajali siku tatu nikawa nmelazwa nmepoteza na simu (iliibwa kwenye gari) leo nmerudi home nikatafuta simu yangu ya zamani nipate namba ya mpenzi wangu Salma.

Nmempigia kwa namba ya Mdogo wangu kapokea sauti yake inaonesha kabisa alikuwa ana chakatwa. Na pembeni nikasikia sauti inauliza unaongea na nani.

Nimejitambulisha kwake kuwa ni mimi xxxx sauti imebadilika kidogo. Akanambia imekuaje leo nmempigia wakati nilimzimia simu siku 3. Nikamweleza ilivyokuwa.

Akanambia ye ALISHA MOVE ON hivi sasa ana boyfriend mwingine. Jamani yaani siku tatu tu ana new boyfriend na anagegedwa? Mtatuua dada zangu.si kiasi hicho.

Mbona wadada wa zamani walikuwa wanakaa single hata mwaka au miaka.nyie siku tatu mtu hajawasiliana nawe una move on? Daaah. Hii siyo sawa. Mi nmemtakia maisha mema tu.

Anatuma text kuwa basi nimsamehe yaishe tutarudiana tu maana anaona jamaa mwenyewe hayupo vizuri, nimemwambia aendelee tu nami NA MOVE ON.
Ingekuwa mimi kama ka move on mimi ninge move off
 
Pole Sana mkuu , huyo ni kahaba , achana naye na wewe mjibu nimesha MOVE ON
 
Ukiona ivo ujue hauna hela.
 
Pole sana kama ni kweli
 
Ya kawaida tu haya kwa wazinzi. Unataka akusubiri umemtolea mahari kwani?
 
pole mkuu mimi nakumbuka nilipiga simu ilipokelewa af ikawekwa vzuri niskie demu anavochakatwa live..miguno yootee aisee na alopokea simu demu mwenyewe.. nilishikwa na tumbo la kuhara..hapo hapo wiki nzima..nahara vibaya mno..masosi auliki wala nn..wanawake wauaji hawa
 
Back
Top Bottom