Jinsi Kundi la G7 lilivotafuna Mademu wa Dar (mpaka sasa hivi wanatafuna) zijue Mbinu zao

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Igwee

Kabla ya yote niwape pole na Corona! Mimi ni mzima nimeji quarantine! Nawaombea uzima na familia zenu!

Well Msione kimyaaa! Kama wengi mlivonishauri I am officially in movie businesss! Kuna series na produce, kali kulikooo! Sasa sikujipanga pesa imenikatikia katikati! Nawasiwasi wana Jamvi mna roho kubwa! Mtu mzima nawaomba wazi wazi! Mniwezeshe! Nilivoona wasanii wanaishi kwa kuomba omba nikajua wanajiendekeza this is expensive! Msaada sio lazima pesa, hata vifaa, crew, ujuzi anything! Msiponitoa nyie ndo sitokiii! Anayetaka kunisaidia aje PM! Please please! Help a sister out!

BACK TO TOPIC!

Juzi nimekutana Na shogareee wa kitambo hiko, muhenga mwenzangu! Enzi hizo alikuwa anaitwa Japanese! Sababu ni kisuuu cha hatariii! Afu ana macho kama mjapan! Kifupi Japanese alikuwa mzuriiii sanaa sema kichwaniii 0! Aliishia form 2 baada ya kupewa Mimba na Mwalimu! Mimba akaiporomosha na kuingia Sinza enzi hizooo kudangaaa!

She wasn’t lucky at first! Alikuwa tu shangingi wa bei poa poa! One luck day she scored big! Akamnasa Limbayu! Kwanza ukipata bwana kama lile lazima ujishebedueeee watu wakujueeee! The guy was throwing cash! Na sio kitu cha kujivunia ila I’m lucky I saw him 3 times in action! Damn!

Nikasikia Japanese kalipata baba la BOT wanaliita Limbayu! Nikawaambia slow down kidogo THE LIMBAYUUU! As in cash all over and cars to waste! Nikaambiwa mmmmh! One and only! Nikasema hapana Japanese mswahili sanaaa! It can’t be! Mi nakuja mwanamke wake alishiriki miss Ilala!

Nikaambiwa sasa kwa taarifa yako tu, kakutana nae alipomkuta, kapewaaa million 2 cash money kwenye bahasha anunue simu ampigie! Of course it was him totally and completely na hii ndo signature yake! Hata miss hivo hivo! Nikamwambia tumuwahi Limbayuuu sio sio! Tumtahadharishe!

Tunaenda kumpa tu update kwamba jamaa is serial mzinzi! Hafaiiii! Akasema Nashukuru mmenitaadharaisha! Weeee! Kaniambia nitafute nyumba kali sanaa Sinza hapa ya Million kwenda juu! Anilipie SITAKI tenaaa! Tukamwambiaaa tuliaaa wewe acha papara Liyu ana pesaaa Chafuuu tupite na hizo million 12 kwanza afu ndo utaachana nae! Akauliza kivipi?

Iko hivi inatafutwa nyumba halali anakuja kuikagua ila mwenye nyumba tunaleta fekeroo! Madalali wanapewa M Yao, we unachukua 10, sisi 2! Namna hiooo! Afu unatupa line Dar kubwa atakupata wapi! The guy has surplus pusy supply he won’t notice kama kapigwa! Poa poa!

The next thing Japanese kahamia kwenye hio nyumba ya 1.5 million! Kwa mwezi enzi hizo! Furniture zilinunuliwa life mate! Kabla hata hatujawaza kuuchongoa mdomo Mama yake Japanese kaja kutuchamba wima wima Na upupuuu! Jimama la buguruniii! Sisi kama kima gani tunamshauri Japanese aachane Na Limbayuuu? Angetutongoza sisi tungemkataaa? Good question indeed!

Regardless kama madhara yashafanyika, tukaibukaaa mjengonii! Lavishing life style! Mungu ampunguzie adhabu za kaburi baba analea yuleee! Kama sio sisi tulivogeukaaa na upepoo!

Odds zilikuwa nyingi sanaa ukiachana Na utitiri wa wanawake alivokuja na Limbayu, Pia he was very hard to please! Nearly impossible! Nyumba ile inafutwa Vumbi mpaka kwenye ceiling board on daily basis! Alafu ana kinyaa cha ajabu Na kususaa Dakika moja!

Mpaka mdananda wake mmoja ulimwambia Japanese huyu hakai na mwanamke mwezi! Chuma fasta fasta! Japanese a kamwambia mimi ndo Japanese mmanyemaa originaleee! Na Masters zake nitamlisha malibwata mpaka umalaya utamwisha! Nimejipangaaa!

Believe me or not, alidumu nae 3 facking years! Alimpenda au ndo limbwata Mimi na wewe msomaji hatutojuaaa! Still the fear ya kuachwa alikuwa nayo badooo! Sanaaa! She made a very stupid move! Akambebea Mimba!

Mdananda akasema wewe Japanese muongo Mimba sio ya Mzee! Ili ila mtitiiii! Japanese kaja juu! Mdananda ukakomaa Mzee ana vasectomy baada ya kubambikwa sanaa Mitoto! Uchawi wako umeishiwa nguvu!

Mzee alikaa Mimba ikafika miezi 8! Japanese akafanya tena silly mistake! A kamwambia mbona wanakuandika andika gazetini mambo ya Kutisha? Hapo shigongo kamkalia kooni Limbayu! Wiki haipiti hajamwandika!

Mzeee alighafirikaaa! A kamwambia kumbe wewe mswahili sanaa! Mimi boss kwanini nisiandikwe! Huna akili hujasomaaa! Sijui nimekuokota wapi! Akaondoka usiku huo huo! He never ever came back!

Akampigiaaa weeee! Wapiiii! Akapigwa block! Akamfata BOT anaambiwa kasafiri! Aliibuka AMANA Na 100,000 wakamzalisha Mimba ya miezi 8 Kitoto kimfu akakiacha pale pale! (Kama Lana hajabebaga Mimba tenaaa!)

Japannese was back in business

Je, ilitokeaje mpaka akamaliza(sijui alimaliza yeye) na kundi zima la G7 na sasa hivi yupo wapi na anafanya nini? Tukitane tena mida mimi

Msisahau mchango wa series yangu matata! Huu Ubuyu Rasha rasha! Nataka kusimamisha jiji!


SEHEMU YA PILI

SEHEMU YA TATU

EPISODE 4: COMMENT YA 129!

EPISODE 5: COMMENT YA 147
 
Back
Top Bottom