Wanawake wa sasa mtatuua. Siyo hivi Jamani

Wanawake wa sasa mtatuua. Siyo hivi Jamani

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,698
Reaction score
32,275
Nlipata ajali siku tatu nikawa nmelazwa nmepoteza na simu (iliibwa kwenye gari) leo nmerudi home nikatafuta simu yangu ya zamani nipate namba ya mpenzi wangu Salma.

Nmempigia kwa namba ya Mdogo wangu kapokea sauti yake inaonesha kabisa alikuwa ana chakatwa. Na pembeni nikasikia sauti inauliza unaongea na nani.

Nimejitambulisha kwake kuwa ni mimi xxxx sauti imebadilika kidogo. Akanambia imekuaje leo nmempigia wakati nilimzimia simu siku 3. Nikamweleza ilivyokuwa.

Akanambia ye ALISHA MOVE ON hivi sasa ana boyfriend mwingine. Jamani yaani siku tatu tu ana new boyfriend na anagegedwa? Mtatuua dada zangu.si kiasi hicho.

Mbona wadada wa zamani walikuwa wanakaa single hata mwaka au miaka.nyie siku tatu mtu hajawasiliana nawe una move on? Daaah. Hii siyo sawa. Mi nmemtakia maisha mema tu.

Anatuma text kuwa basi nimsamehe yaishe tutarudiana tu maana anaona jamaa mwenyewe hayupo vizuri, nimemwambia aendelee tu nami NA MOVE ON.
 
Kaka wanawake kwa sasa ni pasua kichwa .... Yaani ukiwa naye tu ndio wako kuna mwingine mm nilikuwa naye anachakatwa balaah na anakwambia kabisa jana nimechakatwa sababu ya shida ..... Mpk nimenyanyua mikono

Hawa viumbe kwa sasa wana slogan yao pesa mbels hamna mapenzi kwa hiyo sishangai kabisa kuchakatwa
 
Hahaha kweli kabisa pesa mbele...unapewa unachotaka....hawana aibu unaweza wagegeda wawili kwa pamoja cha muhimu ndalama tuu
 
Hahahaaa mimi niliwahi ambiwa na dem wa mshkaji "play your part"
 
Hahaha kweli kabisa pesa mbele...unapewa unachotaka....hawana aibu unaweza wagegeda wawili kwa pamoja cha muhimu ndalama tuu
Mkuu ukiwa dau kubwa hawaulizi hata salama utasikia njoo nafuta hapo jiongeze tu hata hawa watoto wa vyuo nao ni pasua kichwa kabisa
 
Mkuu ukiwa dau kubwa hawaulizi hata salama utasikia njoo nafuta hapo jiongeze tu hata hawa watoto wa vyuo nao ni pasua kichwa kabisa

Na watoto wa chuo ndionwatamu kweli alafu wao sii ndio wanaendekeza tamaa za shopping mara iphone sijui outings. Hao ndio target market yangu...ni mwendo wa kuwatoa out na kuwakaribisha ghetto unajipigia threesome tuu.
 
Baadhi ya Wanaume akipata fursa kidogo ya kukaa na mwanamke tayari hujiona ni wakwake peke yake!

Umeshajisemea kuwa uko vizuri; Tafuta mwanamke uoe achana na Uma......ya kwani muda si mrefu utarudi hapa kusema umesha bebewa mimba au Ugonjwa!

Ukioa ndio utakuwa na full mandate!
 
Back
Top Bottom