We huoni
Eti kitumbua ni kwa ajiri ya mume na andazi kwa wapembeni
Mie ni mwarabu wa Kayenze
Si kweli hata kidogo
Wote wanapata kitumbua, mume cha kumimina wa pembebi cha kuoka.
Maandazi marfuku sababu hatulimi ngano, na ukikutwa na ngano basi ni haramu na unafungwa.

Shida ya kitumbua ni pale kinapoingia mchanga...
Kwa muktadha huo, andazi nafuu...?lol
kikiingiwa mchanga shurti kisafiwe kwa kupuliza na mdomo huku umefunga macho.
Ukikitia kwenye maji umeharibu
ukikilamba umeumia
kisicho na mchanga, shurti mzee akae mkekani na msuli wake, chai ya maziwa na mchaichai na hiliki na kitumbua cha kumimina.
Utamskia Yalllah! Ngoja nikaongeze mahari, niliwapunja wazazi.
Kulea wenye meno 32 ina raha yake babuu!