Wanawake wa module pasua kichwa

wanaadamu tunatofautiana sana kama vilivyo viumbe hai vingine vyovyote…maamuzi ya haraka yanategemea na sitation yenyewe,inavumilika?kuna haja ya kuendeleza huo uhusiano?hata ukivunjika kutakuwa na madhara gani?kuna watakaoathirika na maamuzi hayo?Nazungumza kutokana na uhalisia kwanini ukae uvumilie matatizo yasiosuluhishika kwa mfano?Wazazi wetu walikuwa na subira sana na uvumilivu kwasababu enzi hizo ilikuwa ukiachika ni jambo la aibu mno si kwako tu bali kwa familia nzima na vilevile wanawake walikuwa wamama wa nyumbani wakitegemea mwanaume kama mhudumu,kwa mantiki hio ukiachwa maana urudi kwenu…tukumbuke hii karne nyingine,hilo la kuachana ni cha mtoto kwasababu kuna worse case scenarios.Kama upo educated maanaake upo independent unaweza kujimudu bila hata mwanaume!
Tukija kwenye hilo suala la mwanaume "valuvalu" inategemea na msimamo wa mwanaume…nishaona mifano tofauti ya wanaume ambao ni standard seven leavers na wanawake wenye degrees and the man plays his part quite well,wanaume wakishajiwekea ile fikra ya kujishusha kwamba mwanamke ana elimu kuliko wewe au kujiona huwezi kumiliki kiumbe huyu kutokana na ufanisi alonao,lazima utapata shida sana.Mwanaume anatakiwa ajiamini hata kama hana elimu,hio ndio sifa ya uanaume…...
 

wapo mkuu... Ila wa kutafuta na tochi..
 

sawa mamaaaa
 

Kumbuka kuwa hao unaowaita walikuwa mama wa nyumbani ndio walikuwa watafutaji wakubwa wa kipato cha familia na wakawa wavumilivu. Wao ndio walikuwa wanahakikisha chakula cha familia kinatosha, wanalima na kuvuna pamba, kahawa nk ambavyo mauzo yake madingi wanatumia kuongeza mke/wake. Kwani hizo hela zenu mnazopata mnachangia nini? Ni wachache sana ambao wanaongeza kwenye pato la familia. Wengi wenu mnaishia nazo saloon na boutique. Unakuta mtu ana mshahara na bado kila kitu anamuomba mume. Ukimwambia kutimiza majukumu ya mama anadai haki sawa! Haki sawa wakati hata hela ya kutuma kwa wazazi wako natoa Mimi?
 

Hayo ni matakwa ya mtu binafsi...mimi sioni shida kuchangia na mwenza wangu mahitaji ya nyumbani!
 
hapo umegeneralize sana mkuu, inategemea mtu na mtu; labda nitolee mfano ndoa yangu, mimi nimeoa mwanamke msomi wa degree ndoa yetu ina miaka 14 sasa, mke wangu hana kiburi na ni mnyenyekevu kwangu,akipata mshahara wake mwisho wa mwezi ananiletea mimi wote nipange matumizi na mimi ndo nampa kiasi kadhaa kwa matumizi yake binafsi..... Na kuna wengine wameoa wanawake hata shule hawajaenda ila ndo full viburi.
 

Mkuu mke wako ni exceptional:thumbup:😀 wanawake wengi siku hizi mshahara wake anatumia kufanyia mambo yake binafsi, wa kwako ndio anataka mtumie kwa mambo ya wote yakiwemo na ya kwake. Wengi wao siku hizi kwenye ndoa wanaenda kushindana na kuleta ubabe. Simply, si ana mshahara utakaomuwezesha kuishi peke yake!
 
tatizo sio hata kusoma wanaume hampendi chalenge kupitwa hata mshahara mnaweka inferiority complex hata kaja hamja dharauliwa mnajihci ndo mana mwaambiwa mshike sana elimu usimwache aende zako acheni woga na mwanamke msomi hakubali kupelekeshwa na kuonewa badilikeni nyie
 
Nimekupata mamy..ni discussion ambazo zipo mitaani na zimeingia kwenya concious za watu..mm naamini sio wote kuna ambao wamesoma na wanamaintain ile womanity na kwenye ndoa they play their part..
 
ungekuwakaribu ningekuzawadia kitu maana umenitouch kwa post yako hii
Mmmnh... Mwanaume yeyote mwenye hoja dhaifu na asiye jiamini lazima ataogopa mwanamke msomi..!

Wee kama una hoja dhaifu na hujiamini nenda kaoe beki tatu... Baasi..!

Waache wenzio wenye hoja za ukweli na wanaojiamini waoe wasomi..!!
 
mwana umenena vyema hawataki challenge kabisa hao na usiombe ukute mwanamke amejitosheleza kivyake yeye anakuwa muoga sana
 
Nimekupenda bure bure mwaaah
 
mwana umenena vyema hawataki challenge kabisa hao na usiombe ukute mwanamke amejitosheleza kivyake yeye anakuwa muoga sana

mwanamme kama molembe hajielewi wa division 5 atafanya nini kuna mtu kaoa aliyeishia form mwanamke ana msumbua na uelewa wa mambo mdogo kwakwel mwanamke msomi ni muhimu tofauti na ambaye ni division five kuogopa chalenge ni nidhamu ya woga kwa hyo wao waende shule wanawake wasiende kisa uoga wao
 
si wanataka kuwakandamiza tu na mfumo dume wao
unafikiri hawa wanaume wana la maana kwetu
ndo maana wanatuogopa sana sisi tuliofika level za juu
hasa huyu molembe naye angaalie sana
 
si wanataka kuwakandamiza tu na mfumo dume wao
unafikiri hawa wanaume wana la maana kwetu
ndo maana wanatuogopa sana sisi tuliofika level za juu
hasa huyu molembe naye angaalie sana

ladyfurahia salamaaa? mnajua mlivyo na matatito ndo maana ndoa zenu hazina amani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…