Jinsi ulivyojibu kwa mkato na kwa hasira flani..bila kumpinga kwa hoja naona kama imethibitisha madai ya jamaa au..!?
Ukiwa na mke wa hivi hamkai mkaendelea katu, lazma kuwe na changamoto ndani ya nyumba, kuanzia vipato hata mawazo.....kuna wadada wako vizuri sana kichwani. Tatizo wanawake wengi wanasahau majukumu yao kama mama/mke, kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume.Mtoa mada unataka kuoa mke au cv yake? Tafuta mke mwema haijalishi ana degree au la acha kuogopa challenges. Unataka ukirudi nyumbani kila unachosema mtu anajibu sawa mume wangu, ndio, sawa! No questions asked... ili tu asionekane mbishi?! Una inferiority complex... jiamini!
mwanamke ni mwanamke tuuuu...ata awe n Phd 89 atabakia kuwa mwanamke pia.hawa viumbe wasikutishie aman,wako kama puto'ukilipuliza ni lazima lijae,ukilibonyeza lazima libonyee...mtu mwenye CHEMBA huvikwa bandedge kila mwez!..unamshindwa kumhandle...
Me nawapenda hao hao pasua kichwa coz akileta za kuleta unamletea mwenzake achague moja kuchinja au kunyonga!
Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5 yake unajichagulia wife material safi lakini hawa wa module,supp, semister siwawezi kabisaaaaa.

Utawaweza wapi na wewe mburula? labda wakuoe wewe.
tumefanyaje tena maana naona naitwa
Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5 yake unajichagulia wife material safi lakini hawa wa module,supp, semister siwawezi kabisaaaaa.
he he he bestito ndo tunaambiwa tujiteteeee tuloelimika..nimemkopia xiexie
black widow uwe unajiheshimu sio kila wakati siasa na mambo yako ya dini.
mimi sitotumia my positive energy kubishana na watu ambao hawajielewi...na watu wengine wanavyoshobokea its a shame to be honest...wanataka mtu hata akikutia dole la macho ukae utulie tu uugulie...lazima mjifunze kupokea critics kama nyinyi mnavyozitoa!!mnatusema sisi wajuaji mmejuaje kama humjaumbuliwa?lazima ulikuwa unampiga mtu changa la macho ukapewa za uso....wanawake waloelimika wanajua haki zao na kujenga hoja!mwanaume jiamini na usimame kama mwanaume with pride and sincerity again i repeat sincerity hakika wanawake wote watakuheshimu!wacha nikasome articles niongeze knowledge!
Cc mkoroshokigoli,much respect to you,njoo utoe mchango wako!