Wanawake wa kutoka ethiopia wanaongoza kwa uzuri wa asili barani africa ilo halina ubishi kabisa

mmmmhh sisemi kwa hapo maana wamependeza sana,ila wadada wa kibongo kwa kujichubua wanaongoza aisee
 
umeona eeh! maana wakaka humu jf wamezidi kufagilia wa nje wkt hata hapa bongo warembo hata zaidi ya hao wapo!!! we ngoja nikitibuka tu nakuja kumwaga mapicha yao humu ili na sie wadada tujadili kwetu kukoje???hahahahah

sitaki kupata picha "wa kawaida" kwetu itakua vipi..nimecheka sana
unajua most men hate the truth so ukileta itakua kama bomb!
bora tu tulete na sisi za waarabu,latinos,kuna eritrea pia etc..
 
hahahahaha...shosti we cheki hata kuna thread ,moja humu leo inasema wadada wanapenda sana wanaume warefu...basi wee! naona wakak jiiiiiiii! sijui wanaonaje leo!hahahahahah!!!!!!!!!!!!!
sitaki kupata picha "wa kawaida" kwetu itakua vipi..nimecheka sana
unajua most men hate the truth so ukileta itakua kama bomb!
bora tu tulete na sisi za waarabu,latinos,kuna eritrea pia etc..
 
huyo kwenye farasi ni muIRAN na apo chini kuna website ya FARSNEWS ambayo ni ya IRAN na pia amejisitiri kwani kule ni sharia kwa kwenda mbele ila wanawake wapo huru tofauti na nchi nyingine za kiislam na apo yalikua mashindano ya kushoot uku ukiwa juu ya farasi
 
Back
Top Bottom