Wanawake wa kutoka ethiopia wanaongoza kwa uzuri wa asili barani africa ilo halina ubishi kabisa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Helen%20Getachew%20%20%282%29.jpg

Etsubdink%20Liya%20Afa%20%2816%29.jpg

Bewunetwa%20Abebe%20%284%29.jpg

Sara%20Nuru.jpg

34249_103895726328059_100001228964887_24415_2500902_n.jpg

hizi picha ni za wadada wa kawaida tu kwa ethiopia awahesabik kama warembo wala hawana umaharufu wowote.
 
Ni sahihi hawa kina keninisa bekele ni wazuri mno,mwaka 2008 nilikuwa natoka safari nje ya nchi nilikuwa nimepanda ndege ya shirika lao yaani ethiopian airline,sasa wale wahudumu wa ndani (air hostess) walikuwa ni wazuri kupita maelezo,tatizo lilikuwa lugha kwenye ndege zao lugha kuu ni amharic na ukiskiliza music kwa kutumia headphone ni miziki ya kwao huelewi chochote.nilimpenda mhabeshi mmoja mle ndani na yeye alionyesha ushirikiano wa kupendwa lakini tatizo lilikuwa lugha tulishindwa kuelewana.baada ya kufika adiss ababa international airport ndio nilichanganyikiwa zaidi vyuma nilivyovikuta pale airport ni balaa.kwa kifupi kama mjumbe alivyosema kwenye heading yake wanawake wa ethiopia ni wazuri bahati nzuri mjumbe ameweka attachment za rundo la picha za hawa kinadada toka ethiopia.kweli mjumbe umefanya kazi ya ziada kuthibitisha uzuri wa hawa wadada toka ethiopia.
 
Alafu wa ethopia wanafanana fanana kama mapacha vile...
 
Hauja kosea wakushi ni wazuri sana........! Hebu nifundisheni mbinu za kuwatokea Hostesses
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom