Wanawake wa kutoka ethiopia wanaongoza kwa uzuri wa asili barani africa ilo halina ubishi kabisa

246928_151638448240047_100001816796757_337687_6491793_n.jpg
 
Mtoa mada naona una viwango vyako vya kupimia uzuri. Nadhani unatumia european standard of beauty ambapo msichana mrembo lazma awe na nywele zilizonyooka ambazo wabantu hawana,pua nyembamba na shepu nyembamba,weupe.
Nami kwa viwango vyangu vya uzuri vya kibantu naona wasichana wa kitanzania ndio wasichana warembo zaidi duniani kutokana na kua na nywele za afro, pua za wastani,vifua vikubwa kiasi, viuno vyembamba, hips kubwa, makalio makubwa na miguu ya bia. Hivo kwa vipimo vyangu waethiopia hawaiingia ndani kwa watanzania according kwa hivo vipimo.
 
Back
Top Bottom