Wanawake wa kutoka ethiopia wanaongoza kwa uzuri wa asili barani africa ilo halina ubishi kabisa

Wengine ktk hz picha wa kawaida...

Wengi wao wanafanana na watoto wa kiIraq mkoa wa Manyara wilaya za Katesh,Mbulu,Haydom utawakuta kibao tofauti kubwa baina yao na hawa kiethiopia labda ni mavazi tu lakini mengine yote wako sawa kabisa.
 
Kushites wanafanana fanana,kwasababu asilia yao ni moja hali kadhalika sisi wabantu ni copy and paste from east to west,kama waghana. hawa
African-men.jpg
 
Back
Top Bottom