Wanawake wa kisukuma wanatabia zipi...

Wanawake wa kisukuma wanatabia zipi...

mmh mwallu mbona huyu Excel anakuandama hivi...kipo anachokitaka kwako sio bure

demba unajua mwallu alikuwa sweetness destination yangu kabla sijamzalisha Lady doctor! sasa nikitaka kukumbushia, anakimbilia kwa Kaizer! sasa ataendaje kwa kaizer wakati Kaizer anamtegemea mwekundu atongozwe na miss neddy mdogo wake Ntuzu aweze kuponea?

mnaona hilo ua?

love-spells3.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu Excel kuna mtu amejipanga kuja na Excell au Excel original ujue.
Yani na ukongwe wetu humu, mtu akifunga shule nakujiunga leo, na kukuharibia reputation yako uliyeijenga miaka yote.

hili swala linapaswa kupigwa aisee.

dah.. itakuwa mbaya sana.. ila mimi niko tofauti sana na excellent.. wala hazionekani kuharibiana!

sio kama wewe na kakajambaz!

halafu hata huna shukrani mkuu! mim si ndo nilikuitia mwizi wako?
 
mimi principle yangu ileile hadi unianze LOL

hahaaa!! miss neddy akuanze? mtoto ananata utadhani kakalia ulimbo?

mtoto anatembea kama haendi vile? anazungusha jicho kama kinyoonga?... wallahi utangoja sana mwezi huu!
 
Last edited by a moderator:
Mbona watu wanaleta uWhatsapp humu? Kama mnajuana anzisheni uzi wenu mnaofahamiana na sio kuleta stori nje ya Mada husika...
 
Back
Top Bottom