Wanawake wa kisukuma wanatabia zipi...

Wanawake wa kisukuma wanatabia zipi...

kwa hio ungelinitaja na mimi ungekufa au?

du.. ila naamini unani-do for love..

Wewe huna man'gombe dada yng akutake Wa nini? Sisi kaka Zake tuliozoe kukaa na kulala na mifugo tupate nini toka kwako? Utupe Proglam ya Excel tuka install wp?
 
Last edited by a moderator:

kijana ngoja nikwambie.. usipanic lakini.. life is good when..
 
Mwambie Huyu asiwe anaingia kwenye nyumba za watu bila hodi!

umeona eeeeh yani akitaka kutualika bila kadi atutaje tu wasukuma tutahamia humo
.kaka hebu orodhesha sifa zetu kama mia hivi hapa
 
Wewe huna man'gombe dada yng akutake Wa nini? Sisi kaka Zake tuliozoe kukaa na kulala na mifugo tupate nini toka kwako? Utupe Proglam ya Excel tuka install wp?

kaka taratibu huyu nina mpango wa kumfilisi kabisaaaa abaki na dekio tu
 
Last edited by a moderator:
iwe nyepesi basi! khaaa!! wanyantuzu hamchelewi kusema nipalilie shamba la mpunga usiku na mchana wiki nzima..!

naomba utaje sifa kumi za wasukuma ambatanisha na mifano hai iliyopo kwenye jamiii
waweza sema wasukuma ni hodari kwa kazi then taja mtu maarufu msukuma kama mfano
KAZI KWAKO THE KING
 
eheeee!!! ahsante malikia!

umenipa assignment muda muafaka kabisa..

tupate kwanza dinner halafu ntakupa majibu muuuuruuua wakati niko mzigoni!
 
nakuaminia Excel hakikisha mifano inakuw ya mastaaa tu kuanzia wanamuziki madokta mawaziri na kadhalika
 
Last edited by a moderator:
nakuaminia Excel hakikisha mifano inakuw ya mastaaa tu kuanzia wanamuziki madokta mawaziri na kadhalika

hahahaaa!! chezea mimi tenaa!! nshachagua eneo murrrrruuua kabisa kwa ajili ya kufanyia assignment!

sikosi hata moja.. yani step by step!

cha kwanza, mtu mmoja, sifa zake nk!
cha pili, wa pili, sifa zake nk
!mpaka mwisho!

halafu naconclude!
 
Back
Top Bottom