Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
pokea kiss na like 1000Ni wachapa kazi sana.
Hawana uvivu wa kutafuta pesa.
pokea kiss na like 1000Ni wachapa kazi sana.
Hawana uvivu wa kutafuta pesa.
kwanini unauliza?
nakuona online everytime usiku na mchana
hivi tuko jukwaa gani hili?
la wakubwa
sitoi ng'ombe hata mmoja, na kuoa naoa!
Tutakuchaji Ngwekwe na hao watoto ukizaa sio wako wetu Sisi wajomba!
sikuelewi.. nani unamzungumzia? mbona hajawahi kuja hapa kujibu hoja zako?