Wanawake wa kisukuma wanatabia zipi...

Wanawake wa kisukuma wanatabia zipi...

Utembee juu ya fisi! Uko tayari?

shem kaa basi sebuleni utulie jamani!

si unaona mi niko faragha na dadaako jamani?

tafwaaaadhali ngosha! najua una hasira! teh!!
 
kaka taratibu huyu nina mpango wa kumfilisi kabisaaaa abaki na dekio tu


Angalia asije akaisha akabaki km Kagame! Sisi Unajua Sisi Wasukuma kwa kukosoa! Ukituletea kanaume kabaya tutakusema Wewe!
 
naomba utaje sifa kumi za wasukuma ambatanisha na mifano hai iliyopo kwenye jamiii
waweza sema wasukuma ni hodari kwa kazi then taja mtu maarufu msukuma kama mfano
KAZI KWAKO THE KING

Duh duh! Dada yng kwisha kabisa!

Umeanza kumuita Huyu Excel Mfalme?!!!!
 
Last edited by a moderator:
Duh duh! Dada yng kwisha kabisa!

Umeanza kumuita Huyu Excel Mfalme?!!!!

braza tulia basi... mi mbona kazi namalizia hivyo afu wewe unakuja kutibua bana!!

kama vipi ng'ombe 50 badili kuwa usd nikupeeee!!

aargh!
 
shem kaa basi sebuleni utulie jamani!

si unaona mi niko faragha na dadaako jamani?

tafwaaaadhali ngosha! najua una hasira! teh!!

Mi nimeshawapisha! Niko huku nakuamdalia Fisi ukitoka hapa upande akupeleke home!
 
braza tulia basi... mi mbona kazi namalizia hivyo afu wewe unakuja kutibua bana!!

kama vipi ng'ombe 50 badili kuwa usd nikupeeee!!

aargh!


Mi nimetulia! Nafurahi tu dada yng kapata former Bazazi!
 
Ha ha ha haaaa! Hajakuambia mwenzio Kua tumefuga Kwetu Fisi?

babake huku ukuryani hayo mambo hayapo! we are un-rogable!

nasisitiza ' we are un-rogable '!!

kuna mmoja alijaribu..!
 
babake huku ukuryani hayo mambo hayapo! we are un-rogable!

nasisitiza ' we are un-rogable '!!

kuna mmoja alijaribu..!

Ha ha haa! Usimtoe ngeo dada yng! Maana Mahaba ya kikurya bila mikong'oto hayaendi!
 
Basi ungeweka wazi kua WANAWAKE WA KISUKUMA MLIO JF MJOIN Group Chat... Na sio kijiwe out of Topic husika

tutake radhi mkuuu kuna kaka zangu humu
nyie si mnataka kujua sifa za wasukuma mojawapo ndo hii tukikutana hatukunji majamvi so punguza munkari wacha tuorodheshe sifa zetu
 
excel bado tu hiyo assignment

switiee! hebu fanya kwanza kula slow jam wakati napasha!

si unajua tena maandalizi ya vurugu mechi ya leo! mpaka kunakucha leo!

tunapeana tu mahabbbatii!



so this is how we doooo!!!
and that is, how they go awayyy!! hahahahaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom