Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Wapole,wana heshima,wastaarabu,tabia nzuri yani kwa ufupi ni wanawake wanaostahili kuwekwa ndani
kijana umesoma economics?
nimekuja kaka 'angu ati huyu Excel anasema nini?
Economics ndo majogoli gani? Mi nasomaga kuchungaga man'gombe tu!
sasa ndo nataka nimlie lecture mzee wa miss neddy atoe ng'ombe 200 ampe mwanae kwa ajili ya mtaji...
we dogo niaje, ng'ombe 2000000000000 halafu unalala nje?
Ha ha ha haa! Wasukuma hatuhongi wakwilima!
Excel anamumunya maneno Na miss neddy angalia Hapo juu!
huyu Excel asimdanganye mdogo wetu..ana mke anaitwa Angelicious
na kama haitoshi kuna mahali kanikosea heshima,nimemuambia walaa haonekani kujali
hivi mwallu unakumbuka kwamba wewe ulikuwaga mke wangu wa zamani?
jikague utakuta alama zangu.. Ntuzu hajaisikiaga hii!
miss neddy Kaizer Eiyer,sezae Ntuzu DEMBA Angelicious (kua makini na huyu bazazi)..
muoneni Excel,hajielewi
sasa kwanini ukimbie mamii? kwani kukwambia wewe ulikuwaga X wangu ndo utoke mbio hivyo?
mbona Passion Lady hakutokaga mita,? na sasa ana mtoto mzuri tumempongeza kwa pamoja..?
umekimbilia kwenye ofisi ya Kaiza eenh!? haya bana!
unatamani ingekua hivo bazazi?..haitokua.mi sio x wala y wako banaa
kwa hali hii ushafikia u senior bazazi asee
unatamani ingekua hivo bazazi?..haitokua.mi sio x wala y wako banaa
kwa hali hii ushafikia u senior bazazi asee
unajua kujifariji wewe!
senior bazazi
Wengine ni wale wanaotoka tabora hawa wanyamwezi hawana neno. Shida IPO kwa wanyantusu
miss neddy Kaizer Eiyer,sezae Ntuzu DEMBA Angelicious (kua makini na huyu bazazi)..
muoneni Excel,hajielewi